MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA
![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLO6VB1VFlx97ZE2VTx2GjjLnz7pzn7CQlEgUYPAhhEYeaPtIZJbVVIWJPAs*RbXAPwT5fVF26PLFa9jxZtTFJ5/21.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu DUNIA imekwisha jamani! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa, kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi. Polisi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu. Akizungumzia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-EpqRABVevPg/VQewp5ZRLeI/AAAAAAAAqLw/XTNm57i8eVo/s72-c/CIMG0026.jpg)
Mwanafunzi Atekwa, Abakwa na Kuuwawa Kinyama..
![](http://3.bp.blogspot.com/-EpqRABVevPg/VQewp5ZRLeI/AAAAAAAAqLw/XTNm57i8eVo/s1600/CIMG0026.jpg)
Akizungumzia tukio hilo la kusikitisha sana, mama mdogo wa marehemu, Doto Lucas alisema:“Siku ya tukio ambayo ni Alhamisi iliyopita (Machi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LDkzUFMtE*noWtEqXHn*bt94wwyJIwdkIgVRxHl53lcr-GBEPfJYc*KDllEWH-CKdSyCDg9EgL51uOU4amiwpWD/ccm.jpg)
MWANACCM ATEKWA, AUAWA
11 years ago
Habarileo12 Aug
Dereva bodaboda atekwa, auawa
MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1mCpgZkV1Co0LBa8Kz6wQ0GW6q2ifgzw9mZVmvx8NOO1EV0nBhEwYKMS9tzGuxhGnfRs3oNoyycBUDT*qZF2Wl/MWANAMKE.jpg)
MWANAMKE ATEKWA, AUAWA, MAITI YALIWA NA MBWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq9MrZ7-oTw3dPCRRzbEk2ZyWTM*kDLdQpEEz8Asp-Bu8AstWMQTQB5xgwEMGaaMm9StoXwuEpveD9i*Y6SztFWC/mtoto.jpg)
MTOTO MWINGINE ATEKWA, AUAWA, AKATWA NYETI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3KGM3KZVxz4cVv1L6VRGhArX3S-6p-*wgmQpG45mVoYKuTBWubNVSn5yRSdFCFGt6g1aPw*ShoCDSfu3q2yYrXagKEfLu33t/DENTI.gif?width=650)
DENTI WA KIDATO CHA NNE ATEKWA, AUAWA
10 years ago
Habarileo22 Jan
Mwanafunzi wa ualimu auawa
MWANAFUNZI wa ualimu aliyekuwa anasoma mwaka wa Pili katika Chuo cha Ualimu Rukwa, Manispaa ya Sumbawanga, Zakayo Anosisye (25) ameuawa na watu wasiofahamika.
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Mwanafunzi UDSM auawa kwa risasi
Mwanafunzi wa UDSM, Mutaengerwa Mafwiri enzi za uhai wake.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mutaengerwa Mafwiri ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi jana usiku eneo la Msewe jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na www.globalpublishers.co.tz kwa njia ya simu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura amekiri kutokea kwa tukio hilo.
Kwa mujibu wa Kamanda Wambura tukio hilo lilitokea jana usiku majira ya saa mbili...
10 years ago
Habarileo30 Apr
Mwanafunzi auawa baada ya kukutwa na barua ya mapenzi
MWANAFUNZI wa Kidato cha Pili, Jofrey Robert Mwakatenya (15) anatuhumiwa kuuawa kikatili na baba yake mzazi, Robert Mwakatenya (35) baada ya kumkuta akiwa na barua ya mapenzi, inayodaiwa aliandikiwa na rafiki wake wa kike.