Mwanafunzi auawa baada ya kukutwa na barua ya mapenzi
MWANAFUNZI wa Kidato cha Pili, Jofrey Robert Mwakatenya (15) anatuhumiwa kuuawa kikatili na baba yake mzazi, Robert Mwakatenya (35) baada ya kumkuta akiwa na barua ya mapenzi, inayodaiwa aliandikiwa na rafiki wake wa kike.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania09 May
Mtoto wa miaka 13 ajinyonga baada kukutwa na barua ya mapenzi
NA TWALAD SALUM, MISUNGWI
MWANAFUNZI wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Mwagiligili, iliyopo Misungwi, mkoani Mwanza, Rahel Emmanuel (13), amekutwa amekufa baada ya kujinyonga ndani ya nyumba ya Mwalimu wake Mkuu, John Msusa.
Akizungumzia tukio hilo, Mwalimu Msusa alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa sita mchana.
Alisema kabla ya kifo hicho, mwanafunzi huyo ambaye ni mtoto wa shemeji yake, aliyeanza kuishi naye tangu akiwa mdogo alikutwa na karatasi katika madaftari yake iliyokuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Auawa kwa kukutwa uchi mgodini
MKAZI wa Kijiji cha Kapanda, wilayani Mlele, Katavi, Yunge Maboja (70), amefariki dunia baada ya kushambuliwa na wananchi kwa kupigwa na silaha za jadi, ngumi na mateke baada ya kukutwa...
10 years ago
Habarileo10 Oct
Mwanafunzi St Mary Mazinde ang'ara shindano la barua
MWANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya St Mary Mazinde Juu wilayani Lushoto, mkoani Tanga, ameshinda shindano la uandishi wa barua lililofanyika hivi karibuni kitaifa na kuchaguliwa rasmi kuiwakilisha Tanzania katika shindano hilo kimataifa.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s72-c/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Kuhusiana na skendo ya kukutwa na mume wa mtu, Hii ndiyo barua nzito kwa mwanamuziki wa Injili na Bongo Fleva Stara Thomas
![](http://3.bp.blogspot.com/-qnyIcRaPxw0/VORCPC77RkI/AAAAAAAAGoM/BqBi9wCP0r4/s640/STARA%2BTHOMAS.jpg)
Binafsi ni mzima. Naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Nimekukumbuka kwa barua leo maana ni muda mrefu hatujaonana. Sikulaumu maana mjini mipango kama alivyoimba Mwanamuziki Ali Chocky wa Extra Bongo.Dhumuni la barua hii kwanza kabisa ni kukupa pole kwa tukio lililotokea juzikati maana suala la kukutwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLO6VB1VFlx97ZE2VTx2GjjLnz7pzn7CQlEgUYPAhhEYeaPtIZJbVVIWJPAs*RbXAPwT5fVF26PLFa9jxZtTFJ5/21.jpg?width=650)
MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA
10 years ago
Habarileo22 Jan
Mwanafunzi wa ualimu auawa
MWANAFUNZI wa ualimu aliyekuwa anasoma mwaka wa Pili katika Chuo cha Ualimu Rukwa, Manispaa ya Sumbawanga, Zakayo Anosisye (25) ameuawa na watu wasiofahamika.
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Mwanafunzi UDSM auawa kwa risasi
Mwanafunzi wa UDSM, Mutaengerwa Mafwiri enzi za uhai wake.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mutaengerwa Mafwiri ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi jana usiku eneo la Msewe jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na www.globalpublishers.co.tz kwa njia ya simu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura amekiri kutokea kwa tukio hilo.
Kwa mujibu wa Kamanda Wambura tukio hilo lilitokea jana usiku majira ya saa mbili...
9 years ago
Mwananchi22 Aug
NYANZA: Mwanafunzi kidato cha II auawa akimwokoa mwenzake asibakwe
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Auawa kwa wivu wa mapenzi
MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...