Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dereva bodaboda atekwa, auawa

MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dereva bodaboda auawa kinyama

Watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya dereva wa bodaboda, Omari Shaaban (32) na kumuua kisha kuichoma moto, katika tukio linalohusishwa na visa na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.

 

11 years ago

Habarileo

Aliyemuua kikatili dereva bodaboda, auawa kikatili

WANANCHI wamemuua mtuhumiwa wa mauaji wakati akijaribu kutoroka kutoka mjini Namanyere wilayani Nkasi, mkoani Rukwa.

 

10 years ago

GPL

MWANACCM ATEKWA, AUAWA

Stori: Denis Mtima na Haruni Sanchawa
UKATILI! Watu wasiojulikana wameyakatisha maisha ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM),  Tawi la Mkwajuni, Kigamboni jijini Dar,  Ibrahim Hamis (30).Tukio hilo la kusikitisha na lililowaacha midomo wazi wakazi wa eneo hilo, lilijiri usiku wa saa mbili hivi karibuni. Waombolezaji wakiubeba mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA

Na Waandishi Wetu
DUNIA imekwisha jamani! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa, kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi. Polisi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu. Akizungumzia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwendesha bodaboda atekwa na kuchinjwa Singida

DSC016461

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

WATU watatu mkoani Singida,wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la dereva wa boda boda kuchomwa kisu shingoni na usoni juu ya jicho la kushoto.

Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Singida,ACP,Thobias Sedoyeka,alimtaja dereva wa boda boda aliyechomwa kisu na kufariki dunia,kuwa ni Sudi Jumanne (26) mkazi wa Sabasaba mjini hapa.

Alisema mwili wa dereva Sudi uliokotwa na raia wema Novemba...

 

10 years ago

GPL

DENTI WA KIDATO CHA NNE ATEKWA, AUAWA

Stori: Haruni Sanchawa
SIMANZI! Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Abdu Jumaa iliyopo Kitunda, jijini Dar es Salaam, Enock Mseti (20) alitekwa na watu wasiojulikana kisha kuuawa kikatili na maiti yake kutupwa kando ya reli hivi karibuni. Mwili wa Enock Mseti ukiandaliwa kwa ajili ya mazishi. Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake Kitunda, baba mzazi wa marehemu, Reuben Mseti alisema kijana wake...

 

10 years ago

GPL

MTOTO MWINGINE ATEKWA, AUAWA, AKATWA NYETI

Stori: Mwandishi wetu          
WIMBI la utekaji na mauaji ya watoto katika Jiji la Dar bado ni tishio kufuatia wiki iliyopita, maiti ya mtoto Nuru Mohamed (7) mkazi wa Majohe Kichangani Wilaya ya Ilala, kuokotwa ikiwa imeharibika vibaya, tena baadhi ya viungo vyake vikiwa vimenyofolewa. Mtoto Nuru Mohamed (7) aliyetekwa na kuuawa na mtu asiyefahamika. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Novemba 6,...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ATEKWA, AUAWA, MAITI YALIWA NA MBWA

Stori: Haruni Sanchawa, Bagamoyo MAMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Bago, Kata ya Kiwangwa Tarafa ya Msata wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani aliyefahamika kwa jina la Asha Mrisho (pichani), amekutwa ameuawa na kufukiwa kwenye shamba la mananasi. Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Bago, Maulid Omary Tamla akionesha sehemu alipofukiwa marehemu Asha Mrisho kwa mara ya kwanza . Katika tukio hilo, mama huyo inadaiwa  aliaga kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani