Mwendesha bodaboda atekwa na kuchinjwa Singida
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU watatu mkoani Singida,wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la dereva wa boda boda kuchomwa kisu shingoni na usoni juu ya jicho la kushoto.
Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Singida,ACP,Thobias Sedoyeka,alimtaja dereva wa boda boda aliyechomwa kisu na kufariki dunia,kuwa ni Sudi Jumanne (26) mkazi wa Sabasaba mjini hapa.
Alisema mwili wa dereva Sudi uliokotwa na raia wema Novemba...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvsbTZqUya9*YuJFJYGlXQ128CBnlzQ772y7a375drR8CAeohWj*iyhtjp0OCLyDz0W0ujRT*WgqyE726Tv1EPAq/BACKUWAZI.jpg?width=650)
BODABODA AFA KWA KUCHINJWA, NDUGU WAZIKA MGOMBA
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Mwendesha bodaboda agongana na lori, afariki
DEREVA pikipiki yenye namba za usajili T 359 CQR mkazi wa Kibaha Kirunge, Mkoa wa Pwani, Frank Thomas (37), amefariki dunia baada ya kugongana na lori. Kamanda wa Polisi Mkoa...
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mwendesha bodaboda auawa kwa mapanga
MWENDESHA bodaboda, mkazi wa Kijiji cha Korotambe Kata ya Mwema wilayani Tarime, Nyang'era Kirutu Chacha (40) ameuawa baada ya kupigwa mapanga katika kijiji cha Magena akidaiwa kuwa mwizi wa mifugo.
11 years ago
Habarileo16 Jan
Mwendesha bodaboda apigwa risasi, aporwa
MWENDESHA pikipiki ya kusafirisha abiria (bodaboda) amepigwa risasi wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kuporwa chombo hicho cha usafiri.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjbnK1g0xXHuDV6Z11EOrBmqSoNOxqpznlNHQKop6vErJFp0MhdC3A4-vBSa7uQ1MMMG475xD1j-xX-X8BJU6SC6r/IMG20140806WA0004.jpg)
BODABODA YAUA MWENDESHA BAISKELI TANGA
11 years ago
Habarileo12 Aug
Dereva bodaboda atekwa, auawa
MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Mwendesha bodaboda auawa, anyofolewa kichwa na sehemu za siri
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpxqwGX7SzhRlyOJEfPg2yHB9G1eOJIU0cCXr5nNCSqo5wxreRoo4wscZlo6aEfBEMMYbfHSxpTvNU4fibi3TCXA/001.jpg?width=650)
TANGA-SINGIDA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM
11 years ago
Dewji Blog26 May
Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Jimbo la Singida Mjini haijawahi kutokea, waingia kwa staili ya aina yake wakitumia Bodaboda na Bajaji
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mh. Mwigulu Nchemba wakiwa kwenye boda boda, wakati wa msafara wa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika eneo la viwanja vya People’s Club mjini Singida.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana , sambamba na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,wakiwasili kwenye viwanja vya People’s Club kwenye mkutano wa hadhara kwa staili ya aina yake kwa...