BODABODA AFA KWA KUCHINJWA, NDUGU WAZIKA MGOMBA
![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvsbTZqUya9*YuJFJYGlXQ128CBnlzQ772y7a375drR8CAeohWj*iyhtjp0OCLyDz0W0ujRT*WgqyE726Tv1EPAq/BACKUWAZI.jpg?width=650)
Na Haruni Sanchawa TUKIO la aina yake! Dereva wa bodaboda aliyejulikana kwa jina la Alex Wilson amekutwa ameuawa kwa kuchinjwa na kuporwa pikipiki lakini cha ajabu, siku ya mazishi yake kaburini kukazikwa mgomba baada ya mwili kuzuiwa usizikwe, Uwazi limechimba kisa kamili. Marehemu Alex Wilson enzi za uhai wake. Ilikuwa Aprili 8, mwaka huu katika maeneo ya Mbezi Beach karibu na Kiwanda cha Rafia, Alex ambaye ni mwenyeji wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Mwendesha bodaboda atekwa na kuchinjwa Singida
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU watatu mkoani Singida,wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la dereva wa boda boda kuchomwa kisu shingoni na usoni juu ya jicho la kushoto.
Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Singida,ACP,Thobias Sedoyeka,alimtaja dereva wa boda boda aliyechomwa kisu na kufariki dunia,kuwa ni Sudi Jumanne (26) mkazi wa Sabasaba mjini hapa.
Alisema mwili wa dereva Sudi uliokotwa na raia wema Novemba...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Dereva wa bodaboda afa ajalini
DEREVA wa pikipiki, maarufi kama bodaboda, Abdul Mikidadi (33), mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kumgonga mbwa na kupoteza uelekeo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,...
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Mjamzito afa ajali ya bodaboda
10 years ago
GPLFILIKUNJOMBE AKINYWA MAJI KWA MAJANI YA MGOMBA
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6AOwdeYoxEi44SNZwmpT-vuMIW3XW9dY0HiJJyZ48Oy34UkvdQTu0oSblbWD-d5Rru7X1JN64Hn*4ssrI4XFhAk/Happycouplebed008.jpg?width=650)
MKE MATUNZO, NI SAWA NA MGOMBA KUPALILIWA!
10 years ago
Habarileo04 Dec
Arusha wazika ndoa ya Ukawa
VYAMA vinne vya upinzani vilivyoungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeshindwa kuachiana nafasi za uongozi mkoani Arusha, katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14.
10 years ago
Habarileo20 Jan
Wabunge EAC wazika mgogoro
BUNGE la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa mwaka mzima na kuahidi kuwatumikia wananchi wa Jumuiya hiyo.