Arusha wazika ndoa ya Ukawa
VYAMA vinne vya upinzani vilivyoungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeshindwa kuachiana nafasi za uongozi mkoani Arusha, katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
UKAWA watadumu katika ‘ndoa’ yao?
MENGI yamesemwa kuhusu muungano wa vyama vya CHADEMA (CDM), CUF, NCCR-Mageuzi na NLD vinavyounda Umoja wa kutetea Katiba ya Wananchi (UKAWA). Kama mara mbili hivi huko nyuma niliandika makala za...
10 years ago
Habarileo29 Oct
CCM yatabiri ndoa ya Ukawa itavunjika
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa ndoa ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) si tishio, kwani hizo ni porojo tu na haitaweza kudumu.
10 years ago
Habarileo20 Jan
Wabunge EAC wazika mgogoro
BUNGE la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa mwaka mzima na kuahidi kuwatumikia wananchi wa Jumuiya hiyo.
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Wakristu wazika waumini waliouawa Pakistan
10 years ago
Habarileo24 Aug
Jiji, wafanyabiashara Mwanza wazika tofauti
UONGOZI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza umesema kuwa umeumaliza mgomo wa takribani siku tatu ambao umekuwa ukifanywa na wafanyabiashara wa kati jijini hapa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvsbTZqUya9*YuJFJYGlXQ128CBnlzQ772y7a375drR8CAeohWj*iyhtjp0OCLyDz0W0ujRT*WgqyE726Tv1EPAq/BACKUWAZI.jpg?width=650)
BODABODA AFA KWA KUCHINJWA, NDUGU WAZIKA MGOMBA
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Dk. Magufuli arusha kombora Ukawa
NA BAKARI KIMWANGA, GEITA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.
Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza wakati wa mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Buchosa, Geita na...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Ukawa waitikisa CCM Arusha Mjini
*Matokeo ya awali, Lema aelekea kushinda ubunge
*CCM, CUF waumana Handeni Mjini, Wachachewajitokeza
NA WAANDISHI WETU, ARUSHA/TANGA
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, anaelekea kurejea tena bungeni huku akimwacha kwa mbali mpinzani wake, Philemon Mollel wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika matokeo ya awali ambayo yalibandikwa vituoni katika baadhi ya kata za Arusha, yanaonesha Lema anaongoza takribani katika vituo...
10 years ago
Habarileo11 May
Wanafunzi ‘wapigwa’ mkutano Ukawa Arusha
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wanafunzi wa shule za msingi za Mwangaza na Ngarenaro, juzi walidaiwa kupata kipigo kutoka kwa vijana waliojiita ‘Makamanda’ wa umoja wa vyama vya siasa vya upinzani ujulikanao kama Ukawa, baada ya baadhi yao kufika katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya karibu na shule yao.