Wanafunzi ‘wapigwa’ mkutano Ukawa Arusha
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wanafunzi wa shule za msingi za Mwangaza na Ngarenaro, juzi walidaiwa kupata kipigo kutoka kwa vijana waliojiita ‘Makamanda’ wa umoja wa vyama vya siasa vya upinzani ujulikanao kama Ukawa, baada ya baadhi yao kufika katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya karibu na shule yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-pk5MoXC44cU/Vc92M39pTBI/AAAAAAABT8M/ihsKaSkTYJY/s72-c/2.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Oct
Wanafunzi 17 wapigwa radi
WANAFUNZI 17 wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabuhoro wilayani Ilemela mkoani hapa, wamejeruhiwa na wengine kupata mshtuko kutokana na radi kubwa iliyopiga jana asubuhi.
10 years ago
CloudsFM02 Oct
WANAFUNZI WAPIGWA NA RADI WAKIWA SHULENI
WANAFUNZI 17 wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabuhoro wilayani Ilemela mkoani hapa, wamejeruhiwa na wengine kupata mshtuko kutokana na radi kubwa iliyopiga jana asubuhi.
Wanafunzi hao walikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure, ambapo walipatiwa matibabu na hali zao zinaendelea vizuri.
Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola alithibitisha tukio hilo.
Alisema wanafunzi watatu hadi jana mchana walikuwa wakiendelea na...
10 years ago
Vijimambo20 May
Wanafunzi UDSM wapigwa mabomu wakidai mikopo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Cosmas-20MAY2015.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoishi katika hosteli za Mabibo ambao walikuwa wakiandamana kudai fedha zao za kujikimu.
Walichukua hatua hiyo kutokana na kucheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HELSB).
Tukio hilo lilitokea usiku walipoandamana kudai wawekewe fedha kwenye akaunti zao...
11 years ago
Habarileo09 Jul
Mgahawa wapigwa bomu Arusha
WATU wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Wanafunzi na wananchi wafurahia Banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Nane nane Arusha
![](http://4.bp.blogspot.com/-94O9A6hDbYo/VcReU1OyB0I/AAAAAAAAElc/DwwMSi3IKWs/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-lotPTiG3R8k/VcReW6COLMI/AAAAAAAAElk/NkTbq2vbtcw/s640/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4GUi4tsxihQ/VcReZgOJupI/AAAAAAAAEls/KmWz-N-Ka2M/s640/4.jpg)
9 years ago
Vijimambo30 Aug
MKUTANO WA UKAWA JANGWANI
Ahimidiwe MUNGU aletaye Wokovu. Ashukuriwe MUNGU atupaye yele tumwombao. Atukuzwe MUNGU atazamaye kila Mnyonge na kumfariji.
Posted by UKAWA Seattle Washington STATE on Saturday, August 29, 2015
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Mkutano wa JK, Ukawa ni kishindo
11 years ago
Habarileo25 Jul
Ukawa waukacha mkutano wa maridhiano
WAJUMBE wa Kamati ya Maridhiano ya Bunge Maalum la Katiba, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, wamekutana jijini Dar es Salaam, huku wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiukacha mkutano huo.