Mkutano wa JK, Ukawa ni kishindo
Uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kutaka kukutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge kupitia muungano wao wa Kituo cha Demokrasia (TCD), umeibua mjadala katika sehemu mbalimbali nchini huku wasomi na wanasiasa wakitoa angalizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMKUTANO NO. 69 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA WAMALIZIKA KWA KISHINDO
Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa akigonga nyundo maalum kuashiria kukamilika kwa Mikutano ya Baraza hilo ambalo ameliongoza kwa mwaka mzima. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon akiwa mwenye furaha wakati wa kuhitimishwa Baraza la 69 ambapo alimpongeza Bw. Sam Kutesa kwa kuliongoza Baraza kwa uhodari uliopelekea kupitishwa kwa maazimio mbalimbali.Na Mwandishi Maaalum New YorkMkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ...
11 years ago
MichuziKINANA AHITIMISHA MKUTANO WAKE WA HADHARA KWA KISHINDO MJINI SINGIDA LEO
11 years ago
Dewji Blog19 May
Kinana amaliza ziara Tabora kwa kishindo, maelfu wahudhuria mkutano wake wa hadhara
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara aliofanya jana jioni kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani mjini Tabora. Kinana amemaliza ziara yake ya siku 11 ,Mei 18, 2014.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa Tabora mjini.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, bunge wa Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Steven Wassira akihutubia kwenye mkutano huo ambapo pamoja na mambo mengine,...
9 years ago
Vijimambo30 Aug
MKUTANO WA UKAWA JANGWANI
Ahimidiwe MUNGU aletaye Wokovu. Ashukuriwe MUNGU atupaye yele tumwombao. Atukuzwe MUNGU atazamaye kila Mnyonge na kumfariji.
Posted by UKAWA Seattle Washington STATE on Saturday, August 29, 2015
11 years ago
GPLTASWIRA ZA MKUTANO WA UKAWA ZANZIBAR!
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Utapeli ‘mkutano wa Ukawa, CCM’
9 years ago
CHADEMA Blog11 years ago
Tanzania Daima29 May
Polisi wavunja mkutano wa UKAWA
JESHI la Polisi jana limevunja mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa madai kuwa wanasambaza CD za uchochezi. Kuvunjwa kwa mkutano huo kunatokana na askari zaidi ya 20...
11 years ago
Habarileo25 Jul
Ukawa waukacha mkutano wa maridhiano
WAJUMBE wa Kamati ya Maridhiano ya Bunge Maalum la Katiba, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, wamekutana jijini Dar es Salaam, huku wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiukacha mkutano huo.