Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wavunja mkutano wa UKAWA

JESHI la Polisi jana limevunja mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa madai kuwa wanasambaza CD za uchochezi. Kuvunjwa kwa mkutano huo kunatokana na askari zaidi ya 20...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wavunja maandamano Mynmar

Polisi wa kupambana na ghasia wametumia vitoa machozi kuutawanya umati wa wanafunzi uliokuwa ukiandamana kupinga sheria mpya

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KINANA KATORO, GEITA WAVUNJA REKODI YA WATU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.

Komredi Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UKAWA JANGWANI




Ahimidiwe MUNGU aletaye Wokovu. Ashukuriwe MUNGU atupaye yele tumwombao. Atukuzwe MUNGU atazamaye kila Mnyonge na kumfariji.
Posted by UKAWA Seattle Washington STATE on Saturday, August 29, 2015

 

10 years ago

Mwananchi

Mkutano wa JK, Ukawa ni kishindo

Uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kutaka kukutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge kupitia muungano wao wa Kituo cha Demokrasia (TCD), umeibua mjadala katika sehemu mbalimbali nchini huku wasomi na wanasiasa wakitoa angalizo.

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa waukacha mkutano wa maridhiano

WAJUMBE wa Kamati ya Maridhiano ya Bunge Maalum la Katiba, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, wamekutana jijini Dar es Salaam, huku wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiukacha mkutano huo.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

10 years ago

Mwananchi

Utapeli ‘mkutano wa Ukawa, CCM’

Mkutano wa maridhiano uliokuwa umepagwa kufanyika jana mjini hapa kati ya CCM na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindikana huku mwandaaji akitapeliwa Sh400,000.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MKUTANO WA UKAWA ZANZIBAR!

Umati wa Wazanzibar waliojitokeza katika mkutano wa Ukawa leo…

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila ‘apiga hela’ mkutano wa Ukawa

Kiongozi wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, juzi alitoa mpya ya aina yake katika Mkutano wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa) pale alipopigia debe kitabu chake ambacho kilinunuliwa kwa idadi kubwa na wajumbe wenzake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani