Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA

Mwendesha bodaboda akiendelea kuteketea kwa moto baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam,  juzi jioni ambapo alidaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mzee wa miaka 90 afa kwa moto Dar

WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam moja likimuhusisha Mzee Fares Makundi (90), Mkazi wa Kimara Temboni aliyeungua moto akiwa chumbani. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

GPL

BODABODA WANUSA KIFO KWA KUKWAPUA MKOBA

Mmoja kati ya vibaka hao akiwa hoi baada ya kupata kichapo kikali. Mayasa mariwata na denis mtima
Vijana wawili wa bodaboda ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja, hivi karibuni walikoswakoswa kuuawa baada ya kupora mkoba uliokuwa na simu ya mwanamke aliyekuwa akipita njia. Tukio hilo lilijiri Jumanne iliyopita, saa 1.30 usiku maeneo ya Sinza Afrikasana, pembeni mwa Baa ya Hongera ambapo inadaiwa ni eneo hatari kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa kuchomwa moto

KADUCHU Tototo (40) mkazi wa Kijiji cha Rugasha, Kata ya Kibingo wilayani Kyerwa, ameuawa na kuchomwa moto na mafuta ya petroli baada ya kutuhumiwa kuvunja duka la Gerald Daud na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili wafa kwa kuchomwa moto

Wakazi wawili wa Kijiji cha Damwelu, Kata ya Ipande, Tarafa ya Itigi wilayani hapa wamefariki dunia baada ya kupigwa na kuchomwa moto na kundi la watu waliojitambulisha kuwa ni sungusungu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Auawa na kuchomwa moto kwa tuhuma za ujambazi

DSC01655

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, akitoa taarifa ya wananchi kumuua kijana Hussein Jumanne Kisuke (31) anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu. Baada ya kumshambuliwa kwa silaha za jadi na kufariki dunia na kisha kumchoma moto.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Mtuhumiwa wa Ujambazi mkazi wa Misuna Hussein Jumanne Kisuke (31) juzi  alipigwa na wananchi wa Misuna mjini Singida kwa kutumia silaha za jadi na kuuwawa na kisha kuchomwa moto.

Kamanda wa...

 

10 years ago

GPL

BODABODA AFA KWA KUCHINJWA, NDUGU WAZIKA MGOMBA

Na Haruni Sanchawa
TUKIO la aina yake! Dereva wa bodaboda aliyejulikana kwa jina la Alex Wilson amekutwa ameuawa kwa kuchinjwa na kuporwa pikipiki lakini cha ajabu, siku ya mazishi yake kaburini kukazikwa mgomba baada ya mwili kuzuiwa usizikwe, Uwazi limechimba kisa kamili. Marehemu Alex Wilson enzi za uhai wake. Ilikuwa Aprili 8, mwaka huu katika maeneo ya Mbezi Beach karibu na Kiwanda cha Rafia, Alex ambaye ni mwenyeji wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba 2,600/-

MWANAFUNZI wa darasa la pili, Shule ya Msingi ya Wailesi mjini Lindi (jina linahifadhiwa) ameunguzwa moto sehemu ya mikono yake baada ya kufungwa kamba na mama yake mzazi.

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN

Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu ghrama za mazishi ni $6,000  jina la AC ni Memorial for late Mike Lukindo  Benki ni Madison Chase Bank AC ni 579362299  Route ni 075000019  Tafadhali ndugu zangu, Watanzania wenzangu msiba huu ni wetu sote chochote utakachokua nacho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani