Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE MATUNZO, NI SAWA NA MGOMBA KUPALILIWA!

Assalaam alaikum/Bwana Yesu asifiwe! Bila shaka mna afya njema wasomaji wangu. Kikubwa mjue naendelea kuwapenda, kuwathamini na kuwaheshimu kwani mmekuwa mkionesha kukubali kile ambacho nakiandika kupitia safu hii. Baada ya kuwavalia njuga wanawake kwa muda mrefu, leo niwageukie wanaume hasa ikifahamika kwamba, hakuna aliyekamilika isipokuwa Mwenyezi Mungu tu. Ndiyo maana leo nimeamua kuwasema wanaume kwa sababu nao ni miongoni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FILIKUNJOMBE AKINYWA MAJI KWA MAJANI YA MGOMBA

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji kwa kunywa maji ya mto kwa majani ya mgomba maji ambayo wapiga kura wake  wa kijiji cha Madindo Mlangali wamekuwa wakiyatumia mbunge huyo mbali ya kuzindua pia alitoa msaada wa matenki makubwa ya maji mawili na vifaa mbali mbali juzi (Picha na Francis…

 

10 years ago

GPL

BODABODA AFA KWA KUCHINJWA, NDUGU WAZIKA MGOMBA

Na Haruni Sanchawa
TUKIO la aina yake! Dereva wa bodaboda aliyejulikana kwa jina la Alex Wilson amekutwa ameuawa kwa kuchinjwa na kuporwa pikipiki lakini cha ajabu, siku ya mazishi yake kaburini kukazikwa mgomba baada ya mwili kuzuiwa usizikwe, Uwazi limechimba kisa kamili. Marehemu Alex Wilson enzi za uhai wake. Ilikuwa Aprili 8, mwaka huu katika maeneo ya Mbezi Beach karibu na Kiwanda cha Rafia, Alex ambaye ni mwenyeji wa...

 

10 years ago

StarTV

Uzalishaji aina mpya ya Mgomba, wakulima wapewa darasa.

Na Ramadhani Mvungi, Arusha. 

 

Kituo cha utafiti na mafunzo ya kilimo cha mazao ya Mboga, Matunda na Maua cha Tengeru Arusha kikishirikiana na taasisi za TAHA na TAPP kimeanza kutoa mafunzo kwa wakulima kuhusu uzalishaji wa aina mpya ya zao la mgomba kupitia mashamba darasa.

 

Hatua hiyo ni mpango mahususi wa kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbogamboga, matunda na maua katika kuendeleza dhana ya kilimo biashara nchini.

 

Ikiwa chini ya Wizara ya Kilimo chakula na Ushirika kituo cha...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza:Sugu Amedanganya Bunge Matunzo

Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' alidanganya Bunge alipodai hutoa sh.500,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.

Na ingawa Sugu alidai bungeni pia kuwa hulipa ada ya sh. milioni tatu kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto huyo, Faiza amedai ni kwa nusu ya pili tu ya kipindi cha miaka miwili ambayo amekuwa akisoma.

Aidha, mwanamitindo Faiza amesema hayupo tayari kumaliza kifamilia mvutano wa malezi ya mtoto na 'Sugu', kama Mbunge huyo...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yamkamua mbunge matunzo ya mtoto

Sheria.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru Mbunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM) kutoa Sh 200,000 kila mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto wake wa kiume, mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, anayedaiwa kumtelekeza.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria

KIHISTORIA, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya utafiti juu ya hali ya haki na ustawi wa mtoto mnamo mwaka 1988. Hii ilikuwa ni mwaka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria II

WIKI iliyopita tuliishia sehemu inayoeleza mahakama itatumia vigezo gani katika kuthibisha kuwa ni mzazi wa mtoto husika. Sasa endelea…    JAMBO la kwanza  kama kuna ndoa yoyote ilifanyika kulingana na Sheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani