Uzalishaji aina mpya ya Mgomba, wakulima wapewa darasa.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Kituo cha utafiti na mafunzo ya kilimo cha mazao ya Mboga, Matunda na Maua cha Tengeru Arusha kikishirikiana na taasisi za TAHA na TAPP kimeanza kutoa mafunzo kwa wakulima kuhusu uzalishaji wa aina mpya ya zao la mgomba kupitia mashamba darasa.
Hatua hiyo ni mpango mahususi wa kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbogamboga, matunda na maua katika kuendeleza dhana ya kilimo biashara nchini.
Ikiwa chini ya Wizara ya Kilimo chakula na Ushirika kituo cha...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Wakulima 2,380 wapewa mbinu mpya
WAKULIMA 2,379 kutoka Wilaya tano hapa nchini wamenufaika na elimu ya teknolojia mpya ya matumizi ya mbegu mpya za mahindi na mbaazi pamoja na kulima kwa kutumia kilimo mseto na...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Wajumbe baraza la biashara Arusha wapewa ‘darasa’
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
Wakulima Mbeya waneemeka na elimu ya uzalishaji wa mbogamboga kutoka TAHA
Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa Masoko.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya.
Elimu ikiendelea kutolewa. Vitali na green houses.Aina Mbalimbali za matunda ambazo zimezalishwa na wakulima kutokana na elimu Bora waliyo ipata...
10 years ago
MichuziMatumizi ya simu za mkononi kuongeza uzalishaji na mapato ya wakulima 30,000 nchini
Wakulima wadogo wa Tanzania watanufaika kiteknolojia kupitia huduma inayojulikana kama Kilimo Club.Kwa huduma hii wataweza kutumia huduma ya M-Pesa kutuma na kupokea fedha ikiwemo kufanya malipo wakati huo huo...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
TBL yatoa elimu kwa wakulima juu ya uzalishaji bora wa zao la Shayiri
Joel Msechu mtaalamu wa zao la shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika mashamba yaliyopo Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha...
10 years ago
MichuziMradi wa kutekeleza tija ya uzalishaji katika nyanda za juu kusini wawanufaisha wakulima
Wakulima wakiangalia moja ya shamba darasa Mbeya vijini . Aliyechuchumaa ni Nicholas Johaness, afisa kilimo (ACTN)
Na mwandishi...
10 years ago
GPLMATUMIZI YA SIMU ZA MKONONI KUONGEZA UZALISHAJI NA MAPATO YA WAKULIMA 30,000 NCHINI
11 years ago
MichuziWakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA
11 years ago
GPLWAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA