Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima 2,380 wapewa mbinu mpya

WAKULIMA 2,379 kutoka Wilaya tano hapa nchini wamenufaika na elimu ya teknolojia mpya ya matumizi ya mbegu mpya za mahindi na mbaazi pamoja na kulima kwa kutumia kilimo mseto na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Uzalishaji aina mpya ya Mgomba, wakulima wapewa darasa.

Na Ramadhani Mvungi, Arusha. 

 

Kituo cha utafiti na mafunzo ya kilimo cha mazao ya Mboga, Matunda na Maua cha Tengeru Arusha kikishirikiana na taasisi za TAHA na TAPP kimeanza kutoa mafunzo kwa wakulima kuhusu uzalishaji wa aina mpya ya zao la mgomba kupitia mashamba darasa.

 

Hatua hiyo ni mpango mahususi wa kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbogamboga, matunda na maua katika kuendeleza dhana ya kilimo biashara nchini.

 

Ikiwa chini ya Wizara ya Kilimo chakula na Ushirika kituo cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kariakoo wapewa mbinu ya kujitangaza

WAFANYABIASHARA wa Soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam wamepewa elimu ya ujasiriamali juu ya kujitangaza kibiashara kupitia njia mbalimbali za kijigitali. Elimu hiyo ilitolewa na kampuni ya Transevents...

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi Wapewa Mbinu za Kuwachuja Wagombea 2020 Kupitia Huduma kwa Watoto


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akisalimiana na wananfunzi wa shule ya Sekondari Kizwite kabla ya kuwazawadia fedha baada ya kutumbuiza kwa wito unaohamasisha ilinzi kwa watoto katika sherehe za uzinduzi wa Mkakati wa Miaka mitano (2020 – 2025) wa kukabiliana na mimba za utotoni mkoa wa Rukwa.
Wanafunzi wa shule ya Msingi majengo wakitoa burudani mbele ya mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Rukwa (hayupo pichani) kwa wimbo wao wa kuhamasisha kumjali na kumpatia haki mtoto katika ...

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA UFUTA WILAYANI BABATI WAPEWA MASHINE ZA KUKAMUA UFUTA

Ofisa Masoko wa Shirika la Farm Africa,Rahel Pazzia (kushoto) akikabidhi mashine ya kukamua ufuta kwa wana kikundi wa wakulima wa ufuta wa kikundi cha Faraja na Chemchem kwenye Kijiji cha Vilima Vitatu, Wilaya ni Babati Mkoani Manyara jana. Wanakikundi wa Sayuni na Mti wa maziwa, ambao ni wakulima wa zao la ufuta wa Kijiji cha Ngolley Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakiwa na mashine yao ya kukamua ufuta baada ya kukabidhiwa na Ofisa Masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yaanza na mbinu mpya

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri ameanza kujaribu kupanga kikosi kwa kuangalia nafasi ya mchezaji mmoja mmoja, huku akisema anaangalia ‘kombinesheni’ ya kila nafasi.

 

9 years ago

Mtanzania

Madereva wabuni mbinu mpya ya mgomo

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

CHAMA cha Madereva Wafanyakazi Tanzania (TADWU), kimesema madereva nchi nzima watakuwa mapumziko kwa wiki moja au zaidi kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya udereva.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa TADWU, Rashid Said, alisema baada ya mazungumzo na Kamati ya Kudumu ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wameshindwa kuafikiana na kuona kuwa matajiri ndiyo wana nguvu zaidi kuliko wao waajiriwa.

Alisema kutokana na hali hiyo wameamua kutoendelea na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauza ‘unga’ waja na mbinu mpya

WAKATI serikali inafanya juhudi kupambana na wasafirishaji na waingizaji wa dawa za kulevya, wafanyabiashara hao wamebuni mbinu mpya ya kuweka ‘unga’ huo kwenye vitabu na viatu na kisha kutuma kama...

 

10 years ago

Mtanzania

Ukawa wabuni mbinu mpya ya urais 2015

VIONGOZI UKAWAKIKAO cha pamoja kilichowakutanisha viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetoa mikakati ya pamoja ikiwamo kuandaa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi ya urais kwa kila chama.
Hatua hiyo imekuja baada ya kikao cha siri cha siku mbili kilichowakutanisha viongozi wa juu wa Ukawa ambao ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Freeman Mbowe (Chadema), James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD).
Chanzo cha kuaminika kiliambia MTANZANIA jana kuwa katika kikao...

 

11 years ago

Mwananchi

Wauza ‘unga’ sasa wabuni mbinu mpya

Wasafirishaji wa dawa za kulevya wamebuni mbinu mpya baada ya Kikosi cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kukamata kilo 3.5 za heroini zikiwa zimefungwa kwenye vifurushi zikipelekwa Monrovia, Liberia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani