Wauza ‘unga’ sasa wabuni mbinu mpya
Wasafirishaji wa dawa za kulevya wamebuni mbinu mpya baada ya Kikosi cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kukamata kilo 3.5 za heroini zikiwa zimefungwa kwenye vifurushi zikipelekwa Monrovia, Liberia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Wauza ‘unga’ waja na mbinu mpya
WAKATI serikali inafanya juhudi kupambana na wasafirishaji na waingizaji wa dawa za kulevya, wafanyabiashara hao wamebuni mbinu mpya ya kuweka ‘unga’ huo kwenye vitabu na viatu na kisha kutuma kama...
9 years ago
Mtanzania17 Aug
Madereva wabuni mbinu mpya ya mgomo
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Madereva Wafanyakazi Tanzania (TADWU), kimesema madereva nchi nzima watakuwa mapumziko kwa wiki moja au zaidi kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya udereva.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa TADWU, Rashid Said, alisema baada ya mazungumzo na Kamati ya Kudumu ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wameshindwa kuafikiana na kuona kuwa matajiri ndiyo wana nguvu zaidi kuliko wao waajiriwa.
Alisema kutokana na hali hiyo wameamua kutoendelea na...
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Ukawa wabuni mbinu mpya ya urais 2015
KIKAO cha pamoja kilichowakutanisha viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetoa mikakati ya pamoja ikiwamo kuandaa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi ya urais kwa kila chama.
Hatua hiyo imekuja baada ya kikao cha siri cha siku mbili kilichowakutanisha viongozi wa juu wa Ukawa ambao ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Freeman Mbowe (Chadema), James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD).
Chanzo cha kuaminika kiliambia MTANZANIA jana kuwa katika kikao...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-maIKnwOORpc/XlACbZ6UL_I/AAAAAAALewI/VEwoSWtymVoUImdmIh3ax6NhkoadtapIwCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX%2B01.jpg)
WASAFIRISHAJI DAWA ZA KULEVYA WABUNI MBINU MPYA MOROGORO
![](https://1.bp.blogspot.com/-maIKnwOORpc/XlACbZ6UL_I/AAAAAAALewI/VEwoSWtymVoUImdmIh3ax6NhkoadtapIwCLcBGAsYHQ/s640/PIX%2B01.jpg)
Jafari Idd Mshana Mkazi Wa Dar Es Salaam (Wakwanza kulia ) anayetuhumiwa kusafirisha wahamiaji haramu,akiwa na wahamiaji hao Raia wa Ethopia.
![](https://1.bp.blogspot.com/-lq6lyZqtRg4/XlACbfYhKNI/AAAAAAALewM/vyYzejwwlPQ0UXImffy5SOjJU2wo_VUgQCLcBGAsYHQ/s640/PIX%2B02.jpg)
Gari aina ya prado lililotumika kusafirishia dawa za kulevya aina ya Bhangi.
NA FARIDA SAIDY MOROGORO
Kutokana na msako mkubwa unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini waharifu wa makosa mbalimbali wakiwemo wasafirishaji wa dawa za kulevya wamebuni mbinu mpya za kusafirisha wa dawa hizo,ambapo wanatumia Madumu ya lita 20 kama kifungashio cha kubebea...
11 years ago
Mwananchi28 May
Wasafirishaji dawa za kulevya sasa wabuni njia mpya
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Wabuni mbinu ya kuwaangamiza dumuzi
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Wabuni mbinu kuepuka Vurugu viwanjani
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Wabuni mbinu za kuuza chakula kwa simu
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Wanasiasa wabuni mbinu ya ‘kuchota’ wapiga kura