Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Wapewa Mbinu za Kuwachuja Wagombea 2020 Kupitia Huduma kwa Watoto


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akisalimiana na wananfunzi wa shule ya Sekondari Kizwite kabla ya kuwazawadia fedha baada ya kutumbuiza kwa wito unaohamasisha ilinzi kwa watoto katika sherehe za uzinduzi wa Mkakati wa Miaka mitano (2020 – 2025) wa kukabiliana na mimba za utotoni mkoa wa Rukwa.
Wanafunzi wa shule ya Msingi majengo wakitoa burudani mbele ya mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Rukwa (hayupo pichani) kwa wimbo wao wa kuhamasisha kumjali na kumpatia haki mtoto katika ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Leo Mzee Kingunge kaongea na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.


Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo chakuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu ktk kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi isiyowahusukikatiba - kukata majina ya wagombe.
Kingunge amesema Kamati ya Maadili ya CCM yenyewe imekosa maadili yakuheshimu katiba na taratibu za chama.Amesisitiza Kamati ya Maadili haikuwa na madaraka ya kupeleka majina 5kwenye kamati kuu, ambayo ilipaswa kuhoji wagombea wote 38.

Kwa mujibu wa Kingunge, Kuna...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM WAKIWA KWA TB JOSHUA NIGERIA


Hon. Lowassa in 2012 at TB Joshua Church!! Hon. Nchemba at TB Joshua Church in 2014Hon Magufuli with his family and Pastor TB Joshua(left

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kariakoo wapewa mbinu ya kujitangaza

WAFANYABIASHARA wa Soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam wamepewa elimu ya ujasiriamali juu ya kujitangaza kibiashara kupitia njia mbalimbali za kijigitali. Elimu hiyo ilitolewa na kampuni ya Transevents...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima 2,380 wapewa mbinu mpya

WAKULIMA 2,379 kutoka Wilaya tano hapa nchini wamenufaika na elimu ya teknolojia mpya ya matumizi ya mbegu mpya za mahindi na mbaazi pamoja na kulima kwa kutumia kilimo mseto na...

 

10 years ago

Michuzi

NMB waanza kutoa huduma kupitia MaxMalipo kwa Mafanikio

BENKI ya NMB imeanza kutoa huduma zake kupitia mawakala wa MaxMalipo kwa mafanikio katika hatua ya majaribio inayoendelea Kigamboni – Dar es Salaam, Dodoma na Arusha.
Huduma hiyo inayojulikana kama NMB Wakala itakuwa inapatikana kwenye maduka ya kawaida yenye huduma za MaxMalipo, inategemewa kusogeza huduma za benki hiyo mpaka vijijini na kuwa benki ya kwanza kuweza kupenya maeneo ya vijijini.
Kwa ajili ya kuhakikisha huduma hii inawafikia wengi, NMB inafanya matangazo katika eneo la kigamboni...

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais wapewa somo

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP), Said Soud amewataka wagombea wenzake wa nafasi hiyo kuweka mbele uzalendo na si tamaa na ubinafsi wa madaraka.

 

11 years ago

Habarileo

Wagombea nafasi za uongozi wapewa ajenda

MTANDAO wa kupinga ndoa za utotoni (TCEMN) umeshauri wanasiasa watakaogombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ajenda yao kubwa kuwa ni namna watakavyohakikisha wanasimamia haki na ulinzi wa watoto.

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 KAMPUNI ya ACACIA inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, imezindua kampeni ya kukusanya fedha kupitia kupanda mlima Kilimanjaro, leo Jumatatu Juni 22, 2015, ambapo fedha hizo zitakwenda kusaidia sekta ya elimu kwenye maeneo yanayozunguka migodi mitatu inayomilikiwa na kampouni hiyo ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA SIMU ZA MKONONI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano na Huduma Kwa Wateja (Call center) ambacho kitahusika na kupokea na kujibu hoja za wadau mbalimbali zitakazowasilishwa katika Mfuko kupitia Namba ya simu 0800 110063, barua pepe info@nhif.or.tz na mawasiliano kwa njia ya mtandao (Mitandao ya kijamii na simu za mkononi), uliofanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko huo, jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani