Faiza:Sugu Amedanganya Bunge Matunzo
Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' alidanganya Bunge alipodai hutoa sh.500,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.
Na ingawa Sugu alidai bungeni pia kuwa hulipa ada ya sh. milioni tatu kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto huyo, Faiza amedai ni kwa nusu ya pili tu ya kipindi cha miaka miwili ambayo amekuwa akisoma.
Aidha, mwanamitindo Faiza amesema hayupo tayari kumaliza kifamilia mvutano wa malezi ya mtoto na 'Sugu', kama Mbunge huyo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM30 Jun
Sugu Amedanganya Bunge Kuhusu Matunzo ya Mtoto...Adai Hayupo Tayari Kuyamaliza Kifamilia: Faiza
Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' alidanganya Bunge alipodai hutoa sh.500,000 kila mwezi za matunzo ya mtoto.
Na ingawa Sugu alidai bungeni pia kuwa hulipa ada ya sh. milioni tatu kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya mtoto huyo, Faiza amedai ni kwa nusu ya pili tu ya kipindi cha miaka miwili ambayo amekuwa akisoma.
Aidha, mwanamitindo Faiza amesema hayupo tayari kumaliza kifamilia mvutano wa malezi ya mtoto na 'Sugu', kama Mbunge huyo...
10 years ago
Bongo529 Sep
Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PE5R5HwPlsXz7-Ms6rLTw8q2UzY*yN*BGeSsvAMqNEbQuyYJAsMyH2ZK96-fCXhM2vM*hQopLtY8qpaJfe2CoIzRhmjrvrCD/FRONTAMANIgytudyjfjuytj.gif?width=750)
MHE. SUGU AMLIZA FAIZA KORTINI!
10 years ago
Bongo Movies22 Jun
Sugu Amshtaki Faiza, Amtaka Mtoto Wake
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amemshtaki aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally na aliyezaa naye mtoto kwa madai kuwa mwanamke huyo hana maadili na anahofia atamharibu mtoto wao. Sugu anataka kumchukua mtoto huyo na aishi naye (child custody).
Faiza ameiambia Bongo5 kuwa baada ya siku chache zilizopita kupandishwa kizimbani na kujibu shtaka hilo, alisema yeye hawezi kukubali kumuachia Sugu mtoto huyo kwa kuwa yupo chini ya umri.
“Kweli Sugu amenipeleka mahakamani kumtaka...
10 years ago
CloudsFM26 Jun
Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali juu ya mavazi yake...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYs1DhT9PFGMCkOHd-530e6TyKhZ*rpHHv4DypuhRZFxDGjMlr4cOCx7IkCohopBGZ6cv-NdwmrZ357c*pFXcSRO/11373540_493119820863814_1527821329_n.jpg?width=650)
FAIZA: USHINDI WA SUGU HAUNA FAIDA KWANGU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60evFLax4HVhtwNK6YAPpHzamy4THXIiNweW49rUySvIdBFfULV3l1eBz5PBzKZ4o7cI5h4V7KFenI8E94ihVT3XN/Faiza.jpg)
FAIZA AMBANIA SUGU ‘BETHIDEI’ YA MWANAYE
9 years ago
Bongo Movies30 Oct
Baada ya Yote, Faiza Kathibitisha Bado Anampenda ‘Sugu’
Aliyekuwa mpenzi wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake lakini bado anampenda na kumthamini.
Kupitia kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika
“Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu – kwa mimi that’s true love – oh yes...
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Mbunge Sugu alia Dodoma, Faiza amwaga chozi Dar