Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwendesha bodaboda auawa, anyofolewa kichwa na sehemu za siri

Watu wasiofahamika wamemuua kwa kumchinja mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda, Hosam Abdallahaman (18) na kutoweka na kichwa chake, sehemu zake za siri na pikipiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Bodaboda auawa, anyofolewa kichwa na sehemu za siri

Watu wasiofahamika wamemuua kwa kumchinja mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda, Hosam Abdallahaman (18) na kutoweka na kichwa chake, sehemu zake za siri na pikipiki.

 

10 years ago

Mwananchi

Achinjwa na anyofolewa sehemu zake za siri

Watu wasiofahamika wamemuua kwa kumkata mapanga na kisha kumnyofoa sehemu zake za siri mkazi wa Kijiji cha Kanegele, wilayani hapa, Mkoa wa Geita, Hollo Machibula (54).

 

11 years ago

Habarileo

Mwendesha bodaboda auawa kwa mapanga

MWENDESHA bodaboda, mkazi wa Kijiji cha Korotambe Kata ya Mwema wilayani Tarime, Nyang'era Kirutu Chacha (40) ameuawa baada ya kupigwa mapanga katika kijiji cha Magena akidaiwa kuwa mwizi wa mifugo.

 

9 years ago

Mwananchi

Auawa kwa kunyofolewa sehemu za siri

Mkazi wa Kijiji cha Businda wilayani Bukombe Mkoa wa Geita ambaye ni mlemavu wa kusikia John Makoye (43) ameuawa kwa kukatwa mapanga na kunyofolewa sehemu za siri.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto auawa, sehemu za siri, ulimi vyakatwa

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence NgonyaniWATU watatu wamefariki dunia mkoani Kilimanjaro, katika matukio matatu tofauti, likiwemo la mtoto aliyetambulika kwa jina la Faterine Massawe (14) kulawitiwa na kuuawa kikatili, kisha kukatwa sehemu zake za siri na ulimi na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto mdogo auawa, akatwa sehemu za siri

>Watu saba wamefariki dunia katika matukio tofauti wakati wa   Sikukuu ya Krismasi mkoani Morogoro, akiwemo mtoto wa mwaka mmoja kuuawa na watu wasiofahamika kisha kukatwa sehemu zake za siri na mwili wake kutupwa pembezoni mwa Mto Morogoro.

 

10 years ago

Habarileo

Auawa kwa shoka, anyofolewa ulimi

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Barakael MasakiIMANI ya ushirikina, ajali na vitendo vya ukatili dhidi ya binadamu vimesababisha wananchi wa mikoa ya Mbeya kugubikwa na simanzi kutokana na mauaji ya kutisha.

 

10 years ago

Mtanzania

Askari JWTZ auawa, anyofolewa viungo

Na Shomari Binda, Musoma

ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 27 Makoko kilichopo Musoma, Praiveti Wilfred Koko amekutwa ameuawa na kuondolewa sehemu ya viungo vya mwili katika eneo la kikosi hicho.

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoani Mara ilisema askari huyo MT-78227, aliokotwa katika eneo la jeshi Januari 30, mwaka huu saa sita mchana mwili wake ukiwa hauna baadhi ya viungo ukiweamo mguu wa kulia, viganja vya mikono yote na sehemu za siri.

Kaimu Kamanda wa...

 

9 years ago

Habarileo

Auawa, anyofolewa viungo kwa imani za kishirikina

WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Katavi akiwemo mkazi wa kijiji cha Mgasa, Tarafa ya Kabungu wilayani Mpanda, Chiza Lamaeck (23) kuuawa kikatili kwa kunyofolewa viungo vyake vya mwili zikiwemo sehemu zake za siri kwa imani za kishirikina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani