Auawa, anyofolewa viungo kwa imani za kishirikina
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Katavi akiwemo mkazi wa kijiji cha Mgasa, Tarafa ya Kabungu wilayani Mpanda, Chiza Lamaeck (23) kuuawa kikatili kwa kunyofolewa viungo vyake vya mwili zikiwemo sehemu zake za siri kwa imani za kishirikina.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Mwanamke auawa kwa imani za kishirikina
11 years ago
CloudsFM25 Jun
BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Askari JWTZ auawa, anyofolewa viungo
Na Shomari Binda, Musoma
ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 27 Makoko kilichopo Musoma, Praiveti Wilfred Koko amekutwa ameuawa na kuondolewa sehemu ya viungo vya mwili katika eneo la kikosi hicho.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoani Mara ilisema askari huyo MT-78227, aliokotwa katika eneo la jeshi Januari 30, mwaka huu saa sita mchana mwili wake ukiwa hauna baadhi ya viungo ukiweamo mguu wa kulia, viganja vya mikono yote na sehemu za siri.
Kaimu Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo03 Jan
Achinjwa kwa imani za kishirikina
MKAZI wa Kijiji cha Kakese-Mkwajuni, wilayani Mpanda, Shoma Salum (78) ameuawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Wajiondoa vicoba kwa imani za kishirikina
WANANCHI mkoani Iringa, huenda wakakwama kufikia lengo la kuanzisha Benki ya wananchi waishio vijijini (Vicoba) kutokana na baadhi ya wanachama kujiondoa katika vikundi hivyo kutokana na imani za ushirikina. Hatua...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Watano wafa kwa imani za kishirikina
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Theresia , mjane aliyetengwa kwa imani za kishirikina
10 years ago
Habarileo28 Jan
Auawa kwa shoka, anyofolewa ulimi
IMANI ya ushirikina, ajali na vitendo vya ukatili dhidi ya binadamu vimesababisha wananchi wa mikoa ya Mbeya kugubikwa na simanzi kutokana na mauaji ya kutisha.