Watano wafa kwa imani za kishirikina
Watu watano wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na imani za kishirikina katika matukio mawili tofauti vijiji vya Ng’wande, wilayani Kaliua na Mtundu, Kata ya Bukoko, wilayani Igunga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Jan
Achinjwa kwa imani za kishirikina
MKAZI wa Kijiji cha Kakese-Mkwajuni, wilayani Mpanda, Shoma Salum (78) ameuawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Mwanamke auawa kwa imani za kishirikina
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Wajiondoa vicoba kwa imani za kishirikina
WANANCHI mkoani Iringa, huenda wakakwama kufikia lengo la kuanzisha Benki ya wananchi waishio vijijini (Vicoba) kutokana na baadhi ya wanachama kujiondoa katika vikundi hivyo kutokana na imani za ushirikina. Hatua...
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Theresia , mjane aliyetengwa kwa imani za kishirikina
9 years ago
Habarileo06 Nov
Auawa, anyofolewa viungo kwa imani za kishirikina
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Katavi akiwemo mkazi wa kijiji cha Mgasa, Tarafa ya Kabungu wilayani Mpanda, Chiza Lamaeck (23) kuuawa kikatili kwa kunyofolewa viungo vyake vya mwili zikiwemo sehemu zake za siri kwa imani za kishirikina.
11 years ago
CloudsFM25 Jun
BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
WATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Imani za kishirikina zinavyochangia unyanyasaji wa kijinsia
11 years ago
Habarileo12 Jan
Watatu wauawa Mbeya, yumo wa imani za kishirikina
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti likiwamo la mauaji yatokanayo na imani za kishirikina.