Imani za kishirikina zinavyochangia unyanyasaji wa kijinsia
“Mama yangu ameshanitoa mimba mara tatu akidai kuwa mimi ni mgonjwa wa akili sitaweza kumnyonyesha mtoto wala kumtunza, lakini napenda kuwa na mtoto,†anasema binti wa umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa), anayeishi eneo la Iyunga mkoani Mbeya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Jan
Achinjwa kwa imani za kishirikina
MKAZI wa Kijiji cha Kakese-Mkwajuni, wilayani Mpanda, Shoma Salum (78) ameuawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Wajiondoa vicoba kwa imani za kishirikina
WANANCHI mkoani Iringa, huenda wakakwama kufikia lengo la kuanzisha Benki ya wananchi waishio vijijini (Vicoba) kutokana na baadhi ya wanachama kujiondoa katika vikundi hivyo kutokana na imani za ushirikina. Hatua...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Watano wafa kwa imani za kishirikina
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Mwanamke auawa kwa imani za kishirikina
9 years ago
Habarileo06 Nov
Auawa, anyofolewa viungo kwa imani za kishirikina
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Katavi akiwemo mkazi wa kijiji cha Mgasa, Tarafa ya Kabungu wilayani Mpanda, Chiza Lamaeck (23) kuuawa kikatili kwa kunyofolewa viungo vyake vya mwili zikiwemo sehemu zake za siri kwa imani za kishirikina.
11 years ago
Habarileo12 Jan
Watatu wauawa Mbeya, yumo wa imani za kishirikina
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti likiwamo la mauaji yatokanayo na imani za kishirikina.
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Theresia , mjane aliyetengwa kwa imani za kishirikina
10 years ago
CloudsFM26 Jan
ALI KIBA AKANA KUJIHUSISHA NA IMANI ZA KISHIRIKINA LEADERS
Tamasha lililofanyika Jumamosi iliyopita pande za Leaders limezua utata baada ya vituko vingi kutokea huku staa wa Bongo Fleva,Ali Kiba kuhusishwa na imani za kishirikina baada ya kushindwa kupita getini na kuruka ukuta.
Mlinzi wa getini hapo amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa Ali Kiba alifika getini lakini cha kushangaza hakupita mlangoni aliruka ukuta na kuingia ndani. ‘’Ali Kiba alifika hapa wenzake mimi nilikuwa hapa getini lakini nikashangaa ameruka ukuta’,alisema mlinzi...
10 years ago
Mwananchi16 Feb
NYANZA: Imani za kishirikina zaendelea kuwatesa wananchi Serengeti