Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALI KIBA AKANA KUJIHUSISHA NA IMANI ZA KISHIRIKINA LEADERS

Tamasha lililofanyika Jumamosi iliyopita pande za Leaders limezua utata baada ya vituko vingi kutokea huku staa wa Bongo Fleva,Ali Kiba kuhusishwa na imani za kishirikina baada ya kushindwa kupita getini na kuruka ukuta. Mlinzi wa getini hapo amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa Ali Kiba alifika getini lakini cha kushangaza hakupita mlangoni aliruka ukuta na kuingia ndani. ‘’Ali Kiba alifika hapa wenzake mimi nilikuwa hapa getini lakini nikashangaa ameruka ukuta’,alisema mlinzi...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Achinjwa kwa imani za kishirikina

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMKAZI wa Kijiji cha Kakese-Mkwajuni, wilayani Mpanda, Shoma Salum (78) ameuawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.

 

10 years ago

Mwananchi

Watano wafa kwa imani za kishirikina

Watu watano wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na imani za kishirikina katika matukio mawili tofauti vijiji vya Ng’wande, wilayani Kaliua na Mtundu, Kata ya Bukoko, wilayani Igunga.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wajiondoa vicoba kwa imani za kishirikina

WANANCHI mkoani Iringa, huenda wakakwama kufikia lengo la kuanzisha Benki ya wananchi waishio vijijini (Vicoba) kutokana na baadhi ya wanachama kujiondoa katika vikundi hivyo kutokana na imani za ushirikina. Hatua...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke auawa kwa imani za kishirikina

Polisi mkoani hapa inawasaka watu wanaodaiwa kumuua kikatili, Rehema Msole (32) kwa kumpiga shoka, mawe na nondo, kisha mwili wake kuuchoma moto wakimtuhumu kuwa ni mchawi.

 

10 years ago

Mwananchi

Imani za kishirikina zinavyochangia unyanyasaji wa kijinsia

“Mama yangu ameshanitoa mimba mara tatu akidai kuwa mimi ni mgonjwa wa akili sitaweza kumnyonyesha mtoto wala kumtunza, lakini napenda kuwa na mtoto,” anasema binti wa umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa), anayeishi eneo la Iyunga mkoani Mbeya.

 

9 years ago

Habarileo

Auawa, anyofolewa viungo kwa imani za kishirikina

WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Katavi akiwemo mkazi wa kijiji cha Mgasa, Tarafa ya Kabungu wilayani Mpanda, Chiza Lamaeck (23) kuuawa kikatili kwa kunyofolewa viungo vyake vya mwili zikiwemo sehemu zake za siri kwa imani za kishirikina.

 

10 years ago

Mwananchi

Theresia , mjane aliyetengwa kwa imani za kishirikina

“Igogoo, Igogoo, Igogoo, Igogoo.” Ni kelele za sauti nzito, zilizonishitua baada ya kufika Ofisi ya Serikali, Kata Lwamgasa, Kijiji cha Lwamgasa mkoani Geita nilipofika kikazi na baada ya kuuliza wenyeji kulikoni nikajibiwa kuna mama  anayedaiwa mshirikina aliyetengwa na familia yake sasa anaishi jirani na ofisi hiyo na ndipo zinatoka kelele hizo.

 

11 years ago

Habarileo

Watatu wauawa Mbeya, yumo wa imani za kishirikina

WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti likiwamo la mauaji yatokanayo na imani za kishirikina.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Imani za kishirikina zaendelea kuwatesa wananchi Serengeti

>Sakata la watu kupigwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ushirikina katika Kijiji cha Ikoma Robanda, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara limezidi kushika kasi baada ya watu wengine 14 kupigwa, kati yao wawili wakilazwa hospitalini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani