Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Albino mwingine atekwa Kanda ya Ziwa

>Mtoto mwingine mwenye ulemavu wa ngozi (albino) ametekwa mkoani Geita, likiwa ni tukio la pili ndani ya kipindi kisichozidi siku 50.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Miss Albino kusakwa Kanda ya Ziwa

MISS-ALBINO1NA GEORGE KAYALA

BAADA ya kupatikana washindi wa Miss Albino Kanda ya Mashariki na Kaskazini, kwa sasa shindano hilo linatarajiwa kufanyika Kanda ya Ziwa mwishoni mwa mwezi ujao jijini Mwanza ikiwa ni harakati za kuendelea kumsaka Miss Albino Tanzania 2016.

Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, aliliambia MTANZANIA jana kuwa maandalizi kwa ajili ya kumpata mshindi huyo yanaendelea ambapo tarehe na ukumbi vitawekwa wazi mwishoni mwa wiki hii.

Washindi waliopatikana hadi sasa ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tasuba, Tucteda wanavyotumia sanaa shirikishi kupambana na mauaji ya albino Kanda ya Ziwa

TAASISI ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Tasuba), kwa kushirikiana na Mradi wa Sanaa kwa Maendeleo ya Jamii (Tucteda), chini ya ufadhili wa Swedish Institute, hivi karibuni waliendesha mafunzo kwa jamii...

 

10 years ago

GPL

MTOTO MWINGINE ATEKWA, AUAWA, AKATWA NYETI

Stori: Mwandishi wetu          
WIMBI la utekaji na mauaji ya watoto katika Jiji la Dar bado ni tishio kufuatia wiki iliyopita, maiti ya mtoto Nuru Mohamed (7) mkazi wa Majohe Kichangani Wilaya ya Ilala, kuokotwa ikiwa imeharibika vibaya, tena baadhi ya viungo vyake vikiwa vimenyofolewa. Mtoto Nuru Mohamed (7) aliyetekwa na kuuawa na mtu asiyefahamika. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Novemba 6,...

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

11-117Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...

 

10 years ago

Habarileo

Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!

Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekuwa gumzo kubwa katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kanda ya Ziwa. Dk. Magufuli ambaye amekuwa ‘homa kali’ kwa vyama vya upinzani,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limesema linawashukuru mashabiki wa kanda ya ziwa kwa ustaarabu wa hali ya juu.

 

10 years ago

Vijimambo

"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA

Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi.Balozi wa Imetosha Henry Mdimu akinunua mahitaji ya watoto waliopo kituoni hapo kabla ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani