Miss Albino kusakwa Kanda ya Ziwa
NA GEORGE KAYALA
BAADA ya kupatikana washindi wa Miss Albino Kanda ya Mashariki na Kaskazini, kwa sasa shindano hilo linatarajiwa kufanyika Kanda ya Ziwa mwishoni mwa mwezi ujao jijini Mwanza ikiwa ni harakati za kuendelea kumsaka Miss Albino Tanzania 2016.
Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, aliliambia MTANZANIA jana kuwa maandalizi kwa ajili ya kumpata mshindi huyo yanaendelea ambapo tarehe na ukumbi vitawekwa wazi mwishoni mwa wiki hii.
Washindi waliopatikana hadi sasa ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Albino mwingine atekwa Kanda ya Ziwa
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/--7I7DwO3mo/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Tasuba, Tucteda wanavyotumia sanaa shirikishi kupambana na mauaji ya albino Kanda ya Ziwa
TAASISI ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Tasuba), kwa kushirikiana na Mradi wa Sanaa kwa Maendeleo ya Jamii (Tucteda), chini ya ufadhili wa Swedish Institute, hivi karibuni waliendesha mafunzo kwa jamii...
9 years ago
Mtanzania02 Dec
Priscilla Samweli ndiye Miss Albino Kanda ya Dar es Salaam
NA GEORGE KAYALA
MREMBO kutoka Chanika, Priscilla Samweli (22) aliyenyakua taji la Miss Albino 2015 Kanda ya Dar es Salaam, juzi amekuwa mshiriki wa kwanza kusubiri washindi wengine watakaoshindanishwa katika kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Albino Tanzania.
Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, alisema shindano hilo linalofanyika kikanda, awamu ya kwanza imeanza kanda ya Dar es Salaam na Priscilla ameibuka mshindi, hivyo atapambanishwa na warembo wengine watakaopatikana katika kanda...
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Warembo Miss Tanzania 2014 wawasili kambini, kanda ya ziwa waendesha gari yao hadi Dar
Na Father Kidevu Blog
Wanyange 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jijini Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya jana na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*VIktgDvv6rVrpnFDeACDyql1nbekbRTlYbL4GANU4K1eJCI*vCV6xtpKZz03Q*6j-hiorJJDlq1mbBprImkh1G/steve8.jpg)
MISS BONGO MUVI KUSAKWA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXVQ5DuD1Qace9dDRPZtINoNG22-WYX83HqDgiupkHqnpoqNecrgirS0f8wnmXHo29ODi1eqyT1URYlkPvXSjDCk/3.jpg?width=650)
MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!
10 years ago
Vijimambo"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Lowassa atesa kanda ya Ziwa
Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...