"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA
Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi.
Balozi wa Imetosha Henry Mdimu akinunua mahitaji ya watoto waliopo kituoni hapo kabla ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboIMETOSHA KUELEKEA KANDA YA ZIWA KUTOA SOMO
Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo utaongozwa na mwenyekiti wa taasisi hiyo Bw Masoud Kipanya, Balozi Henry Mdimu Mgaya na katibu Salome...
10 years ago
MichuziTIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA KUELEKEA KANDA YA ZIWA KUTOA SOMO
Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari
Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo utaongozwa na mwenyekiti wa taasisi hiyo Bw Masoud Kipanya, Balozi Henry Mdimu Mgaya na katibu Salome...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXVQ5DuD1Qace9dDRPZtINoNG22-WYX83HqDgiupkHqnpoqNecrgirS0f8wnmXHo29ODi1eqyT1URYlkPvXSjDCk/3.jpg?width=650)
MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.
9 years ago
Habarileo16 Aug
Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa
WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Mbili kutoka Kanda ya Ziwa
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Lowassa atesa kanda ya Ziwa
Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...
11 years ago
Habarileo13 Apr
Ndoa za utotoni zakithiri Kanda ya Ziwa
MIKOA ya Kanda ya Ziwa na Magharibi ina huduma zisizoridhisha za uzazi wa mpango, kutokana na kuwa na viashiria vingi vya ndoa za utotoni.
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Albino mwingine atekwa Kanda ya Ziwa