Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!

Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekuwa gumzo kubwa katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kanda ya Ziwa. Dk. Magufuli ambaye amekuwa ‘homa kali’ kwa vyama vya upinzani,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Choki, Muumin, Banza waacha gumzo Kanda ya Ziwa

WAKALI wa muziki wa dansi nchini, Extra Bongo Next Level ‘Wazee wa Kizigo’ wamerejea jijini Dar es Salaam kwa kishindo baada ya kuhitimisha ziara ya wiki moja katika mikoa ya...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kanda ya Ziwa wawachambua Magufuli, Slaa

WAKAZI mbalimbali wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wamewachambua wagombea urais, Dk.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZIDI KUIVURUGA KANDA YA ZIWA,AFANYA KAMPENI MAJIMBO YA MAGU, SUMVE, KWIMBA NA MISUNGWI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia huku akiwa amesimama juu ya gari katika mkutano wa kampeni mjini Ngudu , wilayani Kwimba, jijini Mwanza, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.  Wananchi wakishangilia kukubali kumpigia kura Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Misungwi leoSehemu ya umati wakazi wa Misungwi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,alipokuwa akimwaga sera zake na kuwaomba...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA MIKUTANNO YA KAMPENI GEITA VIJIJINI,NYANG'WALE NA SENGEREMA

Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt Magufuli amezishauri halmashauri nchini kuacha tabia ya kukopa pesa kutoka katika taasisis za kifedha na kulipia fidia za wananchi ambapo serikali inataka kutumia maeneo yao kwa ajili ya huduma za kijamii. 
Akiomba kura katika wilaya mpya ya Nyang'wale mkoani Geita,Dkt Magufuli ametumia jukwaa...

 

9 years ago

Vijimambo

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU TANO,MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA MIKUTANNO YA KAMPENI GEITA VIJIJINI,NYANG'WALE NA SENGEREMA


Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt Magufuli amezishauri halmashauri nchini kuacha tabia ya kukopa pesa kutoka katika taasisis za kifedha na kulipia fidia za wananchi ambao serikali inataka kutumia maeneo yao kwa ajili ya huduma za kijamii. 
Akiomba kura katika wilaya mpya ya Nyang'wale mkoani Geita,Dkt Magufuli ametumia jukwaa...

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Vijimambo

"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA

Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi.Balozi wa Imetosha Henry Mdimu akinunua mahitaji ya watoto waliopo kituoni hapo kabla ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbili kutoka Kanda ya Ziwa

Wakati mzunguko wa kwanza wa Ligi Daraja la Kwanza msimu huu ukiwa umemalizika, Ukanda wa Ziwa una matumaini makubwa ya kupata timu mbili zitakazopanda daraja Ligi Kuu.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

11-117Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani