Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limesema linawashukuru mashabiki wa kanda ya ziwa kwa ustaarabu wa hali ya juu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki wasio wastaarabu wazuiwe viwanjani

>Wakati Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa anaweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa kisasa, Uwanja wa Taifa mwaka 2005, kila Mtanzania mpenda soka alikuwa na furaha ya aina yake.

 

10 years ago

Vijimambo

"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA

Ilikua mishale ya saa kumi kamili jioni ujumbe wa harakati za Imetosha ulipowasili katika kituo cha Buhangija cha kulea watoto wenye mahitaji maalumu mjini Shinyanga. Sauti za furaha za watoto zilisikika zikiimba nyimbo za kukaribisha ujumbe wa wana harakati hao ambao wako Mwanza kutambulisha harakati za Imetosha ambazo ni kupambana na kupinga unyanyapaa, ukatili na mauaji kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi.Balozi wa Imetosha Henry Mdimu akinunua mahitaji ya watoto waliopo kituoni hapo kabla ya...

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa atesa kanda ya Ziwa

11-117Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbili kutoka Kanda ya Ziwa

Wakati mzunguko wa kwanza wa Ligi Daraja la Kwanza msimu huu ukiwa umemalizika, Ukanda wa Ziwa una matumaini makubwa ya kupata timu mbili zitakazopanda daraja Ligi Kuu.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!

Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Richard Bukos, aliyekuwa Geita Dk. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekuwa gumzo kubwa katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Kanda ya Ziwa. Dk. Magufuli ambaye amekuwa ‘homa kali’ kwa vyama vya upinzani,...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kanda ya Ziwa wawachambua Magufuli, Slaa

WAKAZI mbalimbali wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wamewachambua wagombea urais, Dk.

Mwandishi Wetu

 

5 years ago

CCM Blog

MIKOA YA KANDA YA ZIWA YAKUMBWA NA TETEMEKO

Tetemeko la ardhi limetokea katika  Ukanda wa Ziwa Victoria na kuyakumba maeneo ya mikoa ambayo ni jirani na  Ziwa hilo  ikiwemo eneo la mpaka wa  Geita na Shinyanga.
Mjolojia Mwandamizi kutoka taasisi ya Jiolojia Bwana Gabriel Mbogoni amesema Tetemeko hilo lina ukubwa wa 4.6 katika Vipimo vya Richta.
Bwana Mbogoni amesema Tanzania imepitiwa na mkondo wa bonde la ufa la Afrika Mashariki ikiwa na mikondo miwili mkondo wa Mashariki na mkondo wa Magharibi hivyo matukio ya  mateteko ya ardhi...

 

10 years ago

Mwananchi

Albino mwingine atekwa Kanda ya Ziwa

>Mtoto mwingine mwenye ulemavu wa ngozi (albino) ametekwa mkoani Geita, likiwa ni tukio la pili ndani ya kipindi kisichozidi siku 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani