MISS BONGO MUVI KUSAKWA
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*VIktgDvv6rVrpnFDeACDyql1nbekbRTlYbL4GANU4K1eJCI*vCV6xtpKZz03Q*6j-hiorJJDlq1mbBprImkh1G/steve8.jpg)
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. Stori: Hamida Hassan MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ amesema watafanya shindano la kumsaka mlimbwende wa kundi lao, siku ya sherehe ya kuadhimisha miaka mitatu ya klabu hiyo ambayo itafanyika Machi 28, mwaka huu. Akizungumza na Stori Mix, Nyerere alisema, wana imani ndani ya kundi lao kuna walimbwende wengi hivyo wametoa nafasi ya kuwashindanisha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Miss Albino kusakwa Kanda ya Ziwa
NA GEORGE KAYALA
BAADA ya kupatikana washindi wa Miss Albino Kanda ya Mashariki na Kaskazini, kwa sasa shindano hilo linatarajiwa kufanyika Kanda ya Ziwa mwishoni mwa mwezi ujao jijini Mwanza ikiwa ni harakati za kuendelea kumsaka Miss Albino Tanzania 2016.
Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, aliliambia MTANZANIA jana kuwa maandalizi kwa ajili ya kumpata mshindi huyo yanaendelea ambapo tarehe na ukumbi vitawekwa wazi mwishoni mwa wiki hii.
Washindi waliopatikana hadi sasa ni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqxMr-0sxX9bL0jwABAZzFUcPAQ0V8nUIA84wV5TdbJog1BjXbSxib7NNq0rND*D2K9kuAo1dATKx0iGLAcOjLyi/1...jpg?width=650)
BONGO MUVI KIMENUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZPPPBByfAT22W5O61F41zCtmYcl23SzY34F8ewWPA8aW96LBPBXlxPhQAWpdBJkf7qMgQaa1cWKwL2Izl*SYYg/kisomo.jpg)
BONGO MUVI WACHAFUKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYqwsbZOC0lv5wwEkdbgnLL*QVVtcHFQfEIhZRYQJGFEV2bQVY5O1zXBtWP7p-P8NrKnVoewDvkty074dIxR2owp/mastAA.jpg?width=650)
MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04auDoHJ1iotM8JfcH5HZrDoTiacfID8M4e5jjUNpZEEqisceksU6hVBOaMtY5NYn-fNWIhDyXkcQbAEscG1yv6w4/bmuvi.jpg?width=650)
BONGO MUVI KWAWAKA MOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R8dKhK8VotocUDh45icBSjElp7osgaji9PtiynZ9fMHizcFGbFn73lgMwlKqrRq-fotFieE45FlhUeI8m3aFCEE/RISASI.jpg?width=650)
BONGO MUVI KUNA MASHOGA!
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Duma Kuirudisha Bongo Muvi
Msanii wa filamu bongo, Daudi Michael maarufu kama ‘Duma’ amesema lengo la yeye kumuita nchini msanii kutoka nchi ya Australia John K ni kutaka kuirudisha hadhi ya filamu ambayo imepotea kwa kipindi kirefu katika macho ya watu.
Duma amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV muda mchache baada ya kumpokea mgeni wake huyo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.
“Watanzania wanapaswa watupe ushirikiano sana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilrU4mJL4pvZkOmRRgjU24zKqg7VHJpf9CiI7Q4kketybN37pVmlFPukaHVAwXhppp1dWOPTyNrXHYh0c-Myc*RM/CATHY.jpg)
CATHY: BONGO MUVI INAKUFA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hdD5k88wRisJV1K8qu0letWRxlssZIakgnya5ta*9ta49eQzb78PamXAfqkWj1nUzj8K1f53YVd9iEN0GC3*xNC/StevenKanumba.jpg?width=650)
WAMEONDOKA NA BONGO MUVI YAO!