Mbunge CHADEMA atekwa
HUKUMU ya wagombea ubunge wa Jimbo la Kalenga inatarajiwa kujulikana leo baada ya wakazi wake kupiga kura za kumchagua mbunge. Uchaguzi huo unafanyika kutokana na kifo cha William Mgimwa, aliyefariki...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Jan
Kigogo Chadema atekwa, ateswa
MGOGORO unaoendelea ndani ya Chadema una uhusiano na tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Wilaya ya Temeke, Joseph Yona, Polisi imesema.
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke atekwa nyara, ajeruhiwa
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
![](https://3.bp.blogspot.com/-C0hrD70_tH8/VPROrVS30TI/AAAAAAADQM8/u5GW31g2XY0/s1600/red%2Bbrigade2.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-5MF9SQCARvw/VPROrEsFwPI/AAAAAAADQM4/lo1kQV44FSI/s1600/Lwakatare.jpg)
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Mbunge wa Chadema alia
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Mbunge Chadema abwagwa
MBUNGE anayemaliza muda wake, Salvatory Machemli, amekuwa Mbunge wa kwanza wa jimbo kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kubwagwa kwenye kura za maoni zinazoendelea ndani ya chama hicho.
Machemli, aliyekuwa Mbunge wa Ukerewe mkoani Mwanza, alijikuta akishindwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi huo uliofanyika juzi mjini Nansio, Ukerewe.
Awali, uongozi wa Chadema Makao Makuu ulikuwa na mapendekezo kwamba wabunge wa majimbo wa chama hicho wapite bila kupingwa na...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
CHADEMA wambwaga mbunge CCM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Njombe imetupia mbali kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi wa CHADEMA mkoani hapa, ya kutishia kummwagia tindikali Mbunge wa Njombe Kaskazini, Deo Sanga (CCM) maarufu kama Jah People....
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Mbunge wa Chadema alazwa Muhimbili
![Mbunge wa viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Maulida Anna Komu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Maulida-Anna-Komu.jpg)
Mbunge wa viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Maulida Anna Komu
Hadia Khamis na Jonas Mushi, Dar es Salaam
MBUNGE wa viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Maulida Anna Komu, amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa wiki mbili sasa.
Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Taifa Muhimbil,i Dorris Ishenda, alisema jana kuwa Komu alifikishwa hospitalini hapo wiki iliyopita na kulazwa katika wodi ya magonjwa ya moyo.
“Ni kweli amelazwa katika wodi ya magonjwa ya moyo kwa ajili ya matibabu na...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Mbunge Chadema atinga bungeni
11 years ago
Habarileo09 May
Mbunge Chadema aduwaza wenzake
MBUNGE wa Viti Maalumu, Leticia Nyerere (Chadema) ameeleza kufurahishwa na Serikali kwa kufanyia kazi maombi yote ambayo amekuwa akiyawasilisha bungeni, miongoni mwake ikiwa ni pamoja na wananchi wa Kwimba kupatiwa huduma za kijamii.