Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Chadema aduwaza wenzake

Leticia NyerereMBUNGE wa Viti Maalumu, Leticia Nyerere (Chadema) ameeleza kufurahishwa na Serikali kwa kufanyia kazi maombi yote ambayo amekuwa akiyawasilisha bungeni, miongoni mwake ikiwa ni pamoja na wananchi wa Kwimba kupatiwa huduma za kijamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ataka Zitto, wenzake wafukuzwe

Wakati Kamati Kuu ya Chadema ikijipanga kuwahoji Zitto Kabwe na wenzake waliosimamishwa, Mwenyekiti wa chama hicho katika Kanda ya Kaskazini, Mchungaji Israel Natse, amesema salama ya chama hicho ni kuwatimua wote waliovuliwa nyadhifa zao.

 

5 years ago

CCM Blog

KIGOGO WA CHADEMA NA WENZAKE 50 WATIMKIA CCM

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Wilaya ya Tarime mkoani Mara nchini Tanzania, Mwita Joseph ‘white’ na wanachama wa chama hicho zaidi ya 50 wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Joseph na wenzake wamejiunga na CCM leo Jumamosi Aprili 4, 2020 katika ofisi za chama hicho Tarime na kupokelewa na naibu waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara.

Wilaya ya Tarime ina majimbo mawili yanayoongozwa na Chadema ambayo ni Tarime Mjini linaloongozwa na Esther Matiko na Tarime Vijijini...

 

11 years ago

Habarileo

Katibu Chadema, wenzake washiriki mbio za Mwenge

VIONGOZI wa vyama vya upinzani mjini Morogoro, wameshiriki katika Mbio za Mwenge wa Uhuru. Viongozi hao walioshiriki katika mbio hizo ni Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro, Ngonyani Boniface, Mwenyekiti wa TLP Wilaya ya Morogoro, Juma Kasielo, Mwenyekiti wa Chama cha Jahazi Asilia, Ismail Rashid na Katibu wa UDP Wilaya ya Morogoro, Salum Mwandule.

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwambusi aduwaza viongozi Mbeya

Uongozi wa Klabu ya Mbeya City umesema kuwa umeshtushwa na taarifa za Kocha Mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi za kubwaga manyanga huku ukisisitiza kutopokea barua yoyote kutoka kwa kocha huyo ya kuachia ngazi.

 

10 years ago

GPL

NGONGOTI ADUWAZA WATU AKIKATIZA MITAA YA MWENGE, DAR

Ngongoti akikatiza mitaa akiwa katanguliwa na ‘mshikaji’ wake. …Akipishana na jamaa aliyebeba viti.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CHADEMA atekwa

HUKUMU ya wagombea ubunge wa Jimbo la Kalenga inatarajiwa kujulikana leo baada ya wakazi wake kupiga kura za kumchagua mbunge. Uchaguzi huo unafanyika kutokana na kifo cha William Mgimwa, aliyefariki...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mbunge Chadema abwagwa

MBUNGE anayemaliza muda wake, Salvatory Machemli, amekuwa Mbunge wa kwanza wa jimbo kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kubwagwa kwenye kura za maoni zinazoendelea ndani ya chama hicho.

Machemli, aliyekuwa Mbunge wa Ukerewe mkoani Mwanza, alijikuta akishindwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi huo uliofanyika juzi mjini Nansio, Ukerewe.

Awali, uongozi wa Chadema Makao Makuu ulikuwa na mapendekezo kwamba wabunge wa majimbo wa chama hicho wapite bila kupingwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa Chadema alia

>Mbunge wa Viti Maalum wa Chadema, Rose Kamili amedai kupigwa na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati walipomkamata na kumshikilia kwa muda kwa tuhuma za kutoa rushwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani