Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hauwa Ali Mariri: Mwanamke aliyeolewa na wanaume wawili Nigeria

Mgogoro mkali wa kimapenzi umeibuka katika jimbo la Kano nchini Nigeria ambapo wanaume wawili walimuoa mwanamke mmoja wakati tofauti.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KUTANA NA MWANAMKE ALIYEOA WANAUME WAWILI

Na abdallahmagana blogMWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani Katavi, Veronica Saleh ‘Mama Kaela’ (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo.Kijiji hicho kipo umbali wa takribani kilometa 30 kutoka mjini hapa katika Jimbo la Katavi linalowakilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Pamoja na ndoa hiyo iliyowezeshwa na mume mkubwa kukubali kuishi na mume mdogo, imeelezwa kuwa mwanamke huyo ndiye ‘aliyewaoa’ wanaume hao kwa zaidi ya miaka saba...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ilikuwaje binti huyu kutoka Nigeria akaolewa na wanaume wawili?

Sakata ya mapenzi inaendelea katika jimbola Kaskazini Nigeria la Kano, ambapo wanaume wawili walioa mwanamke mmoja katika matukio mawili tofauti.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaume 3 wagombea maiti ya mwanamke

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanaume watatu, wawili wakazi wa jijini hapa na mmoja mkazi wa Nyamongo wilayani Tarime juzi wakiwa katika Mtaa wa Isagenge B, Kata ya Nyakato wilayani Nyamagana, walizua tafrani baada ya kung’ang’ania maiti ya Happy Wangoge Mathias (33) aliyekufa siku chache baada ya kuolewa na Paschal Mayala, jijini hapa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shabiki mwanamke awakera wanaume Saudia

Shabiki mwanamke aliyekuwa akiishabikia timu ya soka ya Saudia katika eneo la milki za kiarabu amewakasirisha wanaume wengi katika mtandao wa kijamii nchini humo.

 

5 years ago

CCM Blog

WANAUME WAWILI WAFA KWA CORONA TANZANIA


HABARI ZA HIVI PUNDEKulingana na taarifa ya Wizara ya afya kuhusu Ugonjwa wa virusi vya corona nchini Tanzania wanaume hao wote wawili waliokufa ni raia wa Tanzania.Wagonjwa hao ni miongoni mwa wagonjwa waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya covid-19.Waliothibitishwa kupoteza maisha ni Mwanaume mwenye miaka 51, mtanzania mkazi wa Dar es Salaam na mwanaume wa miaka 57Halikadhalika wizara ya afya imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya watano wa virusi vya corona.Wagonjwa hao ni wote ni watanzania wakazi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi

Wanaume hao walishitakiwa kwa kumbaka na kumuua mwanamke katika mji mkuu wa India

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanaume wawili wathibitishwa kufa kutokana na Covid-19 Tanzania

Kulingana na taarifa ya Wizara ya afya kuhusu Ugonjwa wa virusi vya corona nchini Tanzania wanaume hao wote wawili waliokufa ni raia wa Tanzania.

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE KABLA YA NDOA, ANATAKIWA AWE‘AMETOKA’ NA WANAUME WANGAPI?-2

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika mada hii ya ‘mwanamke kabla ya ndoa anatakiwa awe ‘ametoka’ na wanaume wangapi’ tuliishia kwa kumsikiliza bibi mwenye miaka 76 akisimulia mwanamke anavyotakiwa kuwa kimapenzi kabla ya ndoa. Alisema: “Ukimuona mwanamke mpaka anaolewa ameshalala na wanaume zaidi ya watano hadi sita huyo ana hulka ya umalaya na hatakuwa mwaminifu katika ndoa. Kama una historia ya...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE KABLA YA NDOA, ANATAKIWA AWE ‘AMETOKA’ NA WANAUME WANGAPI?

NIswali gumu lakini jepesi kwa mtazamo. Wengi wamekuwa wakiingia katika mjadala huu bila ya kujua suala lenyewe lina sura mbili tofauti. HAITAKIWI
Kwa majibu ya maandiko matakatifu mwanamke na mwanaume hawana ruhusa ya kukutana kimwili mpaka pale watakapopata baraka halali ya kuishi kama mume na mke. Kwa hiyo kumbe hakutakiwi kuwa na idadi! Baraka hizi kwa siku hizi zinatoka makanisani (kwa Wakristo), misikitini (kwa Waislamu)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani