WANAUME WAWILI WAFA KWA CORONA TANZANIA
Kulingana na taarifa ya Wizara ya afya kuhusu Ugonjwa wa virusi vya corona nchini Tanzania wanaume hao wote wawili waliokufa ni raia wa Tanzania.Wagonjwa hao ni miongoni mwa wagonjwa waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya covid-19.Waliothibitishwa kupoteza maisha ni Mwanaume mwenye miaka 51, mtanzania mkazi wa Dar es Salaam na mwanaume wa miaka 57Halikadhalika wizara ya afya imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya watano wa virusi vya corona.Wagonjwa hao ni wote ni watanzania wakazi wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Wanaume wawili wathibitishwa kufa kutokana na Covid-19 Tanzania
10 years ago
Habarileo10 Apr
Wawili wafa kwa risasi
WATU wawili kati ya sita wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu mbalimbali wamekufa kutokana na majeraha ya risasi wakati wakijaribu kutoroka.
10 years ago
Habarileo27 Jan
Wawili wafa kwa kula uyoga
WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika Kijiji cha Masyalele, Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya kula uyoga unaosadikiwa kuwa sumu. Pia wengine wanne walazwa akiwamo mtoto wa miaka mitatu katika kituo cha afya cha Mangaka.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Wawili wafa kwa kupigwa risasi
WATU wawili wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi baada ya kuvamia Tarafa ya Ingwe, Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya,...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wawili wafa kwa kuchomwa moto
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
DRC: Watu wawili wafa kwa Ebola
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Wawili wafa Dar
WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam likiwemo la mtoto kutumbukia kwenye karo la maji machafu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Kamanda Msaidizi wa Polisi...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wawili wafa mgodini
WATU wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka na kuanguka ndani ya shimo la kuchimba dhahabu la Gokona la mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo katika Kijiji...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Jimbo la Ubungo wafa wawili