Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawili wafa mgodini

WATU wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka na kuanguka ndani ya shimo la kuchimba dhahabu la Gokona la mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo katika Kijiji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wachimbaji wafa mgodini Mirerani


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WACHIMBAJI wadogo wawili katika mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kulipuliwa na baruti wakiwa mgodini. 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki, alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa 7:30 mchana, eneo la Kitalu B, Mirerani, katika mgodi unaomilikiwa na Mike Oscar (34), mkazi wa Sanya Juu, wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro.
Imeelezwa kuwa baruti hiyo ilipigwa kutoka katika mgodi unaomilikiwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa Dar

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam likiwemo la mtoto kutumbukia kwenye karo la maji machafu. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Kamanda Msaidizi wa Polisi...

 

10 years ago

Habarileo

Wawili wafa kwa risasi

Kamanda wa Polisi Kagera, Henry MwaibambeWATU wawili kati ya sita wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu mbalimbali wamekufa kutokana na majeraha ya risasi wakati wakijaribu kutoroka.

 

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki wawili wafa Algeria

Watu wawili wamekufa wengine kujeruhiwa wakati wakishangilia ushindi wa kihistoria wa Algeria dhidi ya Russia Alhamisi iliyopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa maji Dar

MWANAFUNZI wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Galanos, mkoani Tanga, Abdulrazaki Mziray (19), amekufa maji wakati akiogelea. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema tukio hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa, wengine wajeruhiwa

WATU wawili wamefariki dunia akiwamo mtoto na wengine kujeruhiwa kwa mapanga katika matukio tofauti yaliyotokea katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara. Akielezea matukio hayo jana, Kaimu Kamanda wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi wawili wafa wakiogelea

WANAFUNZI wawili wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Goba, Dar es Salaam, wamefariki dunia juzi wakati wakiogelea. Wanafunzi hao wametajwa kuwa ni Frank Charles (11) na Videson Peter...

 

11 years ago

Mwananchi

Jimbo la Ubungo wafa wawili

Mbunge wa Ubungo (Chadema) jijini Dar es Salaaam, John Mnyika amesema mvua zinazonyesha jijini humo zimesababisha vifo vya watu wawili na uharibifu wa miundombinu ya barabara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa ajalini Dar

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia juzi jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema kuwa juzi saa 4 asubuhi, katika Barabara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani