Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawili wafa, wengine wajeruhiwa

WATU wawili wamefariki dunia akiwamo mtoto na wengine kujeruhiwa kwa mapanga katika matukio tofauti yaliyotokea katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara. Akielezea matukio hayo jana, Kaimu Kamanda wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wawili wafa, 40 wajeruhiwa ajali ya basi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaWATU wawili akiwemo mtoto wa miezi sita wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani, iliyolihusisha basi la Zuberi katika eneo la Tumaini Nkuhi kwenye barabara kuu ya Singida - Dodoma.

 

10 years ago

GPL

PADRI, WENGINE WAWILI WAFA WAKIOGELEA

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey Kamwela. Watu watatu wamekufa maji akiwamo Padri wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Same, Amedeus Mangia na wengine tisa kuokolewa baada ya kupigwa na dhoruba kali wakati wakiogelea kwenye Bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Akizungumza kwa njia ya simu jana, Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga, alisema kuwa tukio hilo limetokea juzi na kwamba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watu 20 wafa, 15 wajeruhiwa

WATU 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeegeshwa pembeni mwa barabara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino...

 

10 years ago

Habarileo

Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Thobias SedoyekaWATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya basi yaua wanne, wengine 40 wajeruhiwa

Basi la Wibonela ambalo hufanya safari zake kati ya Kahama na Dar es salaam limepinduka jana asubuhi na kuua watu wanne, akiwamo kichanga wa miezi mitatu, na kujeruhi wengine 40.

 

11 years ago

Mwananchi

Abiria 10 wafa, wengine watafutwa

>Watu 10 wamekufa maji na wengine wanaendelea kutafutwa baada ya boti mbili kupigwa dhoruba na mojawapo kuzama katika maeneo tofauti ya Bahari ya Hindi.

 

10 years ago

StarTV

Mtu mmoja afariki, wengine 21 wajeruhiwa katika ajali Singida

 Na Emmanuel Michael, Singida.

MTU mmoja amefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Kosta walilokuwa wakisafiria kutoka Shinyanga kwenye harusi kurejea nyumbani Morogogo kupinduka mkoani Singida.

 

Ni wakati wa mwingine ambapo mkoa wa Singida umejawa na simanzi na huzuni baada ya kushuhudia mtu mmoja aliyepoteza maisha na wengi 21 wakilazwa kwa matibabu kutokana na ajali ya barabarani.

 

Mkuu wa Wilaya ya Singida Queen Mlozi ni miongoni mwa viongozi wa kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

WAWILI WAFARIKI, WATANO WAJERUHIWA AJALINI

Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya magari mawili likiwemo basi dogo la abiria waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.
Kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Athuman mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Coaster likitokea kwenye msiba Musoma kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana na lori la mafuta.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Septemba 17 mwaka huu majira ya saa 12:15...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wawili wajeruhiwa mjini Ferguson

Polisi wawili wamejeruhiwa mjini Ferguson kulikotokea mauaji dhidi ya Kijana mweusi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani