WAWILI WAFARIKI, WATANO WAJERUHIWA AJALINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-lNhxptZ_Ipo/VBmKMrGFRhI/AAAAAAAGkF0/OfHYhPBUaOE/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya magari mawili likiwemo basi dogo la abiria waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.
Kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Athuman mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Coaster likitokea kwenye msiba Musoma kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana na lori la mafuta.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Septemba 17 mwaka huu majira ya saa 12:15...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Apr
19 wafariki ajalini mbeya, wawili wajeruhiwa vibaya
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Saba wafariki, 71 wajeruhiwa ajalini
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Sita wafariki ajalini, 12 wajeruhiwa Dar
11 years ago
GPLMMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO
9 years ago
StarTV28 Sep
Watu watano wafariki, sita wajeruhiwa Katavi
Watu watano wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyokea kijiji cha Matandalani wilaya ya Mlele mkoani Katavi baada ya gari aina ya NOAH lenye namba T 451 DDP ikitokea Mpanda mjini Kuelekea Sitalike kupinduka na kuacha njia.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa tano za asubuhi baada ya gari kupasuka tairi na kupinduka ambapo chanzo cha ajali ...
10 years ago
Habarileo08 Sep
43 wajeruhiwa ajalini Nanyumbu
WATU 43 wamenusurika kifo huku wanne kati yao hali zao zikiwa mbaya baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kupinduka katika Kijiji cha Mkambata, Kata ya Mikangaula, wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara.
10 years ago
Mwananchi08 Nov
37 wajeruhiwa ajalini Mbeya
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Watatu wajeruhiwa ajalini mkoani Arusha
11 years ago
Mwananchi05 May
Padri, katekista wafariki ajalini