Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


37 wajeruhiwa ajalini Mbeya

Mwendo kasi na kupasuka kwa tairi la basi la Kampuni ya Happy Nation zimetajwa kuwa sababu ya ajali ya basi hilo iliyosababisha watu 37 kujeruhiwa, wanne wakiwa mahututi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

19 wafariki ajalini mbeya, wawili wajeruhiwa vibaya

Watu 19 wafari katika ajali ya gari eneo la Kiwira Mkoani Mbeya, wawili wajeruhiwa vibaya 

 

10 years ago

Habarileo

43 wajeruhiwa ajalini Nanyumbu

WATU 43 wamenusurika kifo huku wanne kati yao hali zao zikiwa mbaya baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kupinduka katika Kijiji cha Mkambata, Kata ya Mikangaula, wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara.

 

11 years ago

Mwananchi

Saba wafariki, 71 wajeruhiwa ajalini

Watu saba wamefariki dunia na wengine 71 kujeruhiwa kwenye ajali ya iliyohusisha mabasi ya abiria mikoa ya Kilimanjaro na Manyara.

 

10 years ago

Michuzi

WAWILI WAFARIKI, WATANO WAJERUHIWA AJALINI

Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya magari mawili likiwemo basi dogo la abiria waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.
Kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Athuman mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Coaster likitokea kwenye msiba Musoma kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana na lori la mafuta.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Septemba 17 mwaka huu majira ya saa 12:15...

 

11 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajalini, 12 wajeruhiwa Dar

Watu sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Lugalo, jijini Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Watatu wajeruhiwa ajalini mkoani Arusha

Wanafunzi zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya gari lililokuwa kwenye msafara wa Mwenge wa Uhuru, ulioanza mbio zake mkoani Arusha jana kupata ajali na kusababisha wanafunzi wawili na mwalimu mmoja kujeruhiwa.

 

11 years ago

GPL

MMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO

Dereva wa basi la Zakaria Express, Mbaraka Shamsi (35) mkazi wa Magu akiwa hospitali baada ya ajali. Roberty Nashoni (48) ambaye…

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: ZAIDI ya abiria 40 Wajeruhiwa ajalini mkoano Kilimanjaro jioni ya leo

ZAIDI ya abiria 40 waliokuwa katika basi la Urio linalofanya safari zake kati ya mikoa ya Arusha na Lushoto-Tanga wamejeruhiwa vibaya baada ya basi hilo kupinduka wakati likijaribu kukwepa basi jingine katika makutano ya barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio,inaeleza kwamba ajali hiyo ilitokea majira ya saa 10 jioni jirani kabisa na kituo cha mafuta kilichopo kando ya barabara ya Moshi-Arusha wakati magari hayo yakijiandaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajalini Mbeya

Watu Sita wamekufa na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Ndejela Express, lililokuwa linatoka Sumbawanga kwenda Mbeya, kupinduka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani