Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sita wafariki ajalini Mbeya

Watu Sita wamekufa na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Ndejela Express, lililokuwa linatoka Sumbawanga kwenda Mbeya, kupinduka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sita wafariki ajalini, 12 wajeruhiwa Dar

Watu sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Lugalo, jijini Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Mwananchi

19 wafariki ajalini mbeya, wawili wajeruhiwa vibaya

Watu 19 wafari katika ajali ya gari eneo la Kiwira Mkoani Mbeya, wawili wajeruhiwa vibaya 

 

11 years ago

CloudsFM

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA BASI NANYALA MBEYA

Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa alasiri barabara ya Tunduma/Mbeya ambapo roli lenye namba T 369 AWM aina ya SCANIA likendeshwa na Dereva asiyefahamika likiwa katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafariki ajalini Pwani

WATU watatu wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya ajali iliyohusisha gari la abiria na lori katika eneo la Pera Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Tukio hilo lilitokea usiku...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 40 wafariki ajalini Ufaransa

Watu 40 waliokuwa wakienda kutalii wamefariki baada ya basi lao kugongana na lori katika barabara moja kusini magharibi mwa Ufaransa.

 

11 years ago

Mwananchi

Saba wafariki, 71 wajeruhiwa ajalini

Watu saba wamefariki dunia na wengine 71 kujeruhiwa kwenye ajali ya iliyohusisha mabasi ya abiria mikoa ya Kilimanjaro na Manyara.

 

11 years ago

Mwananchi

Padri, katekista wafariki ajalini

Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda, Matini Kapufi (42 ) na Katekista wa kanisa hilo wa kijiji cha Mtakuja, Parokia ya Inyonga, Patrick Mwendowasaa (60), wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka.

 

10 years ago

Michuzi

WAWILI WAFARIKI, WATANO WAJERUHIWA AJALINI

Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya magari mawili likiwemo basi dogo la abiria waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.
Kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Athuman mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Coaster likitokea kwenye msiba Musoma kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana na lori la mafuta.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Septemba 17 mwaka huu majira ya saa 12:15...

 

9 years ago

Mwananchi

Watu sita wafa ajalini Mikumi mkoani Morogoro

Watu sita wamepoteza maisha baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kugongana uso kwa uso na basi linalomilikiwa na kampuni ya Prince Muro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani