Wachimbaji wafa mgodini Mirerani
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WACHIMBAJI wadogo wawili katika mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kulipuliwa na baruti wakiwa mgodini.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki, alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa 7:30 mchana, eneo la Kitalu B, Mirerani, katika mgodi unaomilikiwa na Mike Oscar (34), mkazi wa Sanya Juu, wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro.
Imeelezwa kuwa baruti hiyo ilipigwa kutoka katika mgodi unaomilikiwa na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Apr
Wachimbaji wadogo 19 wafia mgodini
WACHIMBAJI wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu ‘manyani’, wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wawili wafa mgodini
WATU wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka na kuanguka ndani ya shimo la kuchimba dhahabu la Gokona la mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo katika Kijiji...
10 years ago
Habarileo10 Mar
Makazi ya wachimbaji 3,500 Mirerani yateketea
MOTO mkubwa uliozuka usiku wa kuamkia jana katika machimbo ya madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara, umeteketeza kabisa makambi ya migodi 17, ikiwemo mitambo ya uchimbaji, na kusababisha wachimbaji zaidi ya 3,500 kukosa makazi, huku ajira zao sasa zikiwa shakani.
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Kinana sasa awapoza wachimbaji Mirerani
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Wachimbaji wadogo Mirerani walia na Wizara
9 years ago
Michuziwachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani kupinga kufungiwa migodi yao
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Maafa mgodini
NA WILIUM PAUL, MOSHI
WATU wawili wamefariki dunia papo hapo, baada ya kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya Longoma, yaliyoko Kilema Kusini, Moshi mkoani Kilimanjaro.
Tukio hili linakuja wakati wananchi mkoani Kilimanjaro wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza ndugu zao saba waliofukiwa mwishoni mwa mwaka jana, katika maporomoko kwenye machimbo ya Pumwani, mwishoni mwa mwaka jana.
Tukio hili lilitokea juzi, saa nane mchana baada ya vijana wawili, Adrian Blessing na Shukuru Temu, wenye umri kati ya...
11 years ago
MichuziMH. SUMAYE ATEMBELEA MIRERANI
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Watano wafia mgodini