Wachimbaji wadogo 19 wafia mgodini
WACHIMBAJI wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu ‘manyani’, wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Watano wafia mgodini
11 years ago
MichuziNSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...
10 years ago
GPLBENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKABIDHI FEDHA ZA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO,MJINI DODOMA
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA ATEMBELEA MGODI WA MGUSU ULIOKABIDHIWA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
Katibu Mkuu wa CCM Ndug Kinana leo amehitimisha ziara yake ndani ya mkoa wa Geita kwa kutembea kilometa 1680 kwa Gari,ametembelea Majimbo sita na Wilaya zake sita,huku akiwa amehutubia mikutano 78,mikutano 72 ya hadhara na mikutano 6 ya ndania.Ndugu Kinana ametembelea miradi 53 ya Maendeleo,miradi mitano ya CCM.Kama...
11 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA MADINI NA KUSIKILZA CHANGAMOTO ZAO
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Wachimbaji wafa mgodini Mirerani
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WACHIMBAJI wadogo wawili katika mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kulipuliwa na baruti wakiwa mgodini.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki, alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa 7:30 mchana, eneo la Kitalu B, Mirerani, katika mgodi unaomilikiwa na Mike Oscar (34), mkazi wa Sanya Juu, wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro.
Imeelezwa kuwa baruti hiyo ilipigwa kutoka katika mgodi unaomilikiwa na...
10 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.