Watano wafia mgodini
Wakati ombwe ya wachimbaji wa machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga walikoishi siku 41 kabla ya kuokolewa halijafutika, wachimbaji wadogo watano wamekufa kwa kufukiwa na kifusi katika machimbo ya Mgusu yaliyopo Kijiji cha Mgusu wilayani Geita linalomilikiwa na Kampuni ya Dhahabu ya Geita (GGM)
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Apr
Wachimbaji wadogo 19 wafia mgodini
WACHIMBAJI wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu ‘manyani’, wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.
10 years ago
StarTV07 Oct
Wakimbizi wafia kambini Cameroon.
Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa wakimbizi waliotoroka kutoka kwa wapiganaji wa Boko Haram wamefariki wakiwa katika kambi ya wakimbizi.
Baadhi ya wakazi waliokuwa kambini katika mji wa Fotokol karibu na mpaka wa Nigeria, wanasema kuwa mazingira katika kambi hizo, yalikuwa mabaya sana na kwamba watoto walifariki baada ya kuugua Malaria.
Wengine walilalamika kuwepo uhaba wa chakula kambini na kwamba walilazimika kuiba chakula kutoka kwa mashamba ya wenyeji.
Wadadisi...
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Wakimbizi wafia kambini mpakani Nigeria
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Mjusi Kafiri wafia angani wakifanyiwa utafiti
9 years ago
Habarileo08 Sep
Watoto familia moja wafia majini wakivua samaki
WA T O T O wawili wa f a m i l i a moja wilayani hapa, wamekufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuvulia samaki, kugonga mwamba na kuzama katika Ziwa Victoria.
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Maafa mgodini
NA WILIUM PAUL, MOSHI
WATU wawili wamefariki dunia papo hapo, baada ya kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya Longoma, yaliyoko Kilema Kusini, Moshi mkoani Kilimanjaro.
Tukio hili linakuja wakati wananchi mkoani Kilimanjaro wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza ndugu zao saba waliofukiwa mwishoni mwa mwaka jana, katika maporomoko kwenye machimbo ya Pumwani, mwishoni mwa mwaka jana.
Tukio hili lilitokea juzi, saa nane mchana baada ya vijana wawili, Adrian Blessing na Shukuru Temu, wenye umri kati ya...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wawili wafa mgodini
WATU wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka na kuanguka ndani ya shimo la kuchimba dhahabu la Gokona la mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo katika Kijiji...
10 years ago
Habarileo03 Feb
Wafanyakazi 300 wadhurika mgodini
WAFANYAKAZI zaidi ya 300 wa mgodi wa dhababu wa Bulyanhulu wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wameachishwa kazi baada ya kupata madhara wakiwa kazini huku Bunge likieleza kwamba baadhi wako katika hali mbaya wakisaka msaada juu ya hatua hiyo.
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Miili 5 yapatikana mgodini A. Kusini