Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maafa mgodini


NA WILIUM PAUL, MOSHI
WATU wawili wamefariki dunia papo hapo, baada ya kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya Longoma, yaliyoko Kilema Kusini, Moshi mkoani Kilimanjaro.
Tukio hili linakuja wakati wananchi mkoani Kilimanjaro wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza ndugu zao saba waliofukiwa mwishoni mwa mwaka jana, katika maporomoko kwenye machimbo ya Pumwani, mwishoni mwa mwaka jana.
Tukio hili lilitokea juzi, saa nane mchana baada ya vijana wawili, Adrian Blessing na Shukuru Temu, wenye umri kati ya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maafa mgodini nchini Uturuki

Hitilafu ya umeme imesababisha maafa mgodini nchini Uturuki

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA

Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya zoezi la kuzima moto baada ya mafunzo ya kujiandaa na kukabiliana na dharura ya moto Juni 4, 2015 katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam.Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiiza Mkufunzi wa masuala ya kujikinga na dharura ya moto kutoka Chuo cha Zima moto Bw. Rajabu Mwangalamo wakati wa Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa yaliyofanyika Baraza la Maaskofu Kurasini Dar es Salaam Juni 4, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA


Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.Mwakilishi wa  Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa  mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA MKOANI DODOMA WAFANYA TATHMINI YA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILIANA NA MAAFA

 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Luteni Mstaafu, Chiku Galawa akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma,  tarehe 12 Septemba, 2015. Mjumbe wa Kamati ya Maafa wilayani Mpwampwa, Shekh, Sabah Seif akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kujadili Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA USIMAMIZI MAAFA KILOMBERO YATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA ATHARI ZA MAAFA YA MAFURIKO


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyange, wilayani Kilombero, wakitoa vifaa vyao kwenye makazi yao yaliyozingirwa na maji kutokana na athari ya maafa ya mafuriko. Jumla ya Kaya 250 zilizokuwa zimezingirwa na maji zimeokolewa na kuhifadhiwa shule ya sekondari Nyange.
Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa mgodini

WATU wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka na kuanguka ndani ya shimo la kuchimba dhahabu la Gokona la mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo katika Kijiji...

 

9 years ago

Mwananchi

Watano wafia mgodini

Wakati ombwe ya wachimbaji wa machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga walikoishi siku 41 kabla ya kuokolewa halijafutika, wachimbaji wadogo watano wamekufa kwa kufukiwa na kifusi katika machimbo ya Mgusu yaliyopo Kijiji cha Mgusu wilayani Geita linalomilikiwa na Kampuni ya Dhahabu ya Geita (GGM)

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘Wabeshi’ waleta balaa mgodini



Na Chibura Makorongo, Shinyanga SERIKALI imeombwa kulipatia ufumbuzi tatizo la vijana wanaojiita “wabeshi” wanaovamia mgodi wa almasi wa Williamson Diamonds Ltd ulioko Mwadui, Kishapu mkoani hapa. Vijana hao wamekuwa wakivamia mgodi huo kwa lengo la kupora mchanga wa almasi na kujikuta wakipoteza maisha au kupata vilema vya maisha. Ombi hilo lilitolewa  hivi karibuni na wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Almasi wa Mwadui ambapo walisema kwa kipindi kirefu vijana wengi wanaovamia...

 

11 years ago

BBCSwahili

17 wakwama mgodini Afrika Kusini

Vikosi vya uokozi vimeingia katika mgodi wa dhahabu nchini Afrika Kusini kujaribu kuwaokoa wafanyakazi 17 waliokwama ndani ya mgodi huo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani