Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wabeshi’ waleta balaa mgodini



Na Chibura Makorongo, Shinyanga SERIKALI imeombwa kulipatia ufumbuzi tatizo la vijana wanaojiita “wabeshi” wanaovamia mgodi wa almasi wa Williamson Diamonds Ltd ulioko Mwadui, Kishapu mkoani hapa. Vijana hao wamekuwa wakivamia mgodi huo kwa lengo la kupora mchanga wa almasi na kujikuta wakipoteza maisha au kupata vilema vya maisha. Ombi hilo lilitolewa  hivi karibuni na wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Almasi wa Mwadui ambapo walisema kwa kipindi kirefu vijana wengi wanaovamia...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wachina waleta teknolojia mpya

Kampuni ya Tanzania Gypsum Limited ya jijini Dar es Salaam, imeanza kutengeneza gypsum za aina yake zisizoshika maji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mamba waleta maafa DRC

Wakaazi wa Kijiji cha Mboko mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo wanakabiliwa na tatizo la mamba anayesumbua usalama wao

 

10 years ago

BBCSwahili

Panya waleta hofu China

Watu wawili wanashikiliwa na Polisi nchini China baada ya kuwafungulia mamia ya Panya katika kijiji kimoja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Washambuliaji waleta maafa Lamu

Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Al Shabaab wameshambulia eneo la Mpeketoni na kuwaua 48

 

11 years ago

BBCSwahili

Wivu wa mapenzi waleta maafa china

Shao Zongqi, mwenye umri wa miaka 38 alitekelezaa mauaji hayo mwezi January mwaka huu katika mji wa Yunnan,nchini China.

 

11 years ago

Habarileo

Kobe waleta taharuki Dar es Salaam

HALI ya taharuki ilizuka jana katika eneo la Tabata Mawenzi jijini Dar es Salaam baada ya kobe wadogo zaidi ya 300 kuonekana katika maeneo hayo huku wakiwa hawajulikani walipotokea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wizi wa kihistoria waleta aibu Chile

Chile imemfuta kazi afisaa mkuu wa usalama katika uwanja mkuu wa ndege baada ya tukio la kuaibisha la wizi wa zaidi ya dola bilioni 10

 

10 years ago

KwanzaJamii

WIZI WA KIHISTORIA WALETA AIBUA CHILE

Moja ya magari yaliyokuwa yamebeba pesa hizo Chile imemfuta kazi afisaa mkuu wa usalama katika uwanja rasmi wa ndege baada ya tukio la kuaibisha la wizi wa zaidi ya dola milioni kumi katika sehemu ya kupakia mizigo. Waziri wa ulinzi George Burgos, amesema kuwa uchunguzi umeanzishwa kuhusu namna wanaume 8 waliokuwa wamejihami kuiba pesa kutoka kwa gari lenye ulinzi mkali katika uwanja wa ndege katika mji mkuu Santiago. Alitaja tukio hilo la Jumanne kama la kutia aibu na la kushangaza sana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani