WIZI WA KIHISTORIA WALETA AIBUA CHILE
Moja ya magari yaliyokuwa yamebeba pesa hizo Chile imemfuta kazi afisaa mkuu wa usalama katika uwanja rasmi wa ndege baada ya tukio la kuaibisha la wizi wa zaidi ya dola milioni kumi katika sehemu ya kupakia mizigo. Waziri wa ulinzi George Burgos, amesema kuwa uchunguzi umeanzishwa kuhusu namna wanaume 8 waliokuwa wamejihami kuiba pesa kutoka kwa gari lenye ulinzi mkali katika uwanja wa ndege katika mji mkuu Santiago. Alitaja tukio hilo la Jumanne kama la kutia aibu na la kushangaza sana na...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Wizi wa kihistoria waleta aibu Chile
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Rekodi ya wizi yavunjwa huko Chile
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Wachina waleta teknolojia mpya
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Panya waleta hofu China
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
‘Wabeshi’ waleta balaa mgodini
Na Chibura Makorongo, Shinyanga SERIKALI imeombwa kulipatia ufumbuzi tatizo la vijana wanaojiita “wabeshi” wanaovamia mgodi wa almasi wa Williamson Diamonds Ltd ulioko Mwadui, Kishapu mkoani hapa. Vijana hao wamekuwa wakivamia mgodi huo kwa lengo la kupora mchanga wa almasi na kujikuta wakipoteza maisha au kupata vilema vya maisha. Ombi hilo lilitolewa hivi karibuni na wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Almasi wa Mwadui ambapo walisema kwa kipindi kirefu vijana wengi wanaovamia...
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Washambuliaji waleta maafa Lamu
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Mamba waleta maafa DRC
10 years ago
Habarileo30 Dec
Wanaotuhumiwa mauaji ya Mvungi waleta kizaazaa
WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi, jana waligoma kutoka katika chumba cha mahakama na kukaa kizimbani kwa muda hadi watakapoelezwa jalada la kesi yao lipo wapi.