Wizi wa kihistoria waleta aibu Chile
Chile imemfuta kazi afisaa mkuu wa usalama katika uwanja mkuu wa ndege baada ya tukio la kuaibisha la wizi wa zaidi ya dola bilioni 10
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii15 Aug
WIZI WA KIHISTORIA WALETA AIBUA CHILE
Moja ya magari yaliyokuwa yamebeba pesa hizo
Chile imemfuta kazi afisaa mkuu wa usalama katika uwanja rasmi wa ndege baada ya tukio la kuaibisha la wizi wa zaidi ya dola milioni kumi katika sehemu ya kupakia mizigo.
Waziri wa ulinzi George Burgos, amesema kuwa uchunguzi umeanzishwa kuhusu namna wanaume 8 waliokuwa wamejihami kuiba pesa kutoka kwa gari lenye ulinzi mkali katika uwanja wa ndege katika mji mkuu Santiago.
Alitaja tukio hilo la Jumanne kama la kutia aibu na la kushangaza sana na...
11 years ago
BBCSwahili13 Aug
Rekodi ya wizi yavunjwa huko Chile
Wanaume wanane waliokua wamevalia vikaragosi usoni wakiwa na mitutu mkononi wamepora dola milioni kumi za kimarekani.
10 years ago
GPL
AIBU KUBWA MREMBO ADAKWA KWA WIZI HOSPITALI!
Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MREMBO mmoja aliyejulikana kwa jina la Mariam Moshi (23), mkazi wa Mwananyamala Ujiji, aliponea chupuchupu kuuawa na wagonjwa wenye hasira kali waliolazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar baada ya kudaiwa kuiba nguo. Mariam Moshi akihamaki baada ya kukamatwa na nguo anazodaiwa kuiba katika wodi ya wazazi Hospitalini Mwananyamala. Walinzi wa hospitali hiyo walimuokoa...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
11 years ago
Mwananchi18 Oct
Aibu yetu, aibu yao...
Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Panya waleta hofu China
Watu wawili wanashikiliwa na Polisi nchini China baada ya kuwafungulia mamia ya Panya katika kijiji kimoja.
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
‘Wabeshi’ waleta balaa mgodini
Na Chibura Makorongo, Shinyanga SERIKALI imeombwa kulipatia ufumbuzi tatizo la vijana wanaojiita “wabeshi” wanaovamia mgodi wa almasi wa Williamson Diamonds Ltd ulioko Mwadui, Kishapu mkoani hapa. Vijana hao wamekuwa wakivamia mgodi huo kwa lengo la kupora mchanga wa almasi na kujikuta wakipoteza maisha au kupata vilema vya maisha. Ombi hilo lilitolewa hivi karibuni na wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Almasi wa Mwadui ambapo walisema kwa kipindi kirefu vijana wengi wanaovamia...
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Washambuliaji waleta maafa Lamu
Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Al Shabaab wameshambulia eneo la Mpeketoni na kuwaua 48
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania