Rekodi ya wizi yavunjwa huko Chile
Wanaume wanane waliokua wamevalia vikaragosi usoni wakiwa na mitutu mkononi wamepora dola milioni kumi za kimarekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
KwanzaJamii15 Aug
WIZI WA KIHISTORIA WALETA AIBUA CHILE
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Wizi wa kihistoria waleta aibu Chile
10 years ago
Michuzi10 Dec
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.
Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.
Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Tume ya Warioba yavunjwa rasmi
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba, iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Jaji Joseph Warioba. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-iiZV8yA8jopBOeybxfLyQtvhaHFoq2aURpGNtbmFuD4tJpw7uqKAZBU7-pO9bQIkOlYK5pcMC5qgsr-w7h5pCzQ/SLIM.jpg)
NDOA YA SLIM YAVUNJWA MAHAKAMANI
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Kamati Taifa Stars yavunjwa
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana imevunjwa rasmi baada ya kumaliza kazi yao iliyokuwa inawakabili ya kuhamasisha mechi dhidi ya Algeria.
Kamati hiyo iliyoundwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ilikuwa na kazi ya kuhakikisha Taifa Stars inafanya vema kwenye michuano ya kuwania kufuzu kwa kombe la dunia 2018 nchini Urusi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Farough Baghouzah,...
10 years ago
Habarileo17 Sep
Ofisi ya ACT yavunjwa, nyaraka zaibwa
OFISI ya Chama cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) imevunjwa na kuibwa nyaraka mbalimbali muhimu, ikiwemo fedha taslimu Sh 280,000 usiku wa kuamkia jana. Taarifa ya tukio hilo, ilielezwa kwa waandishi wa habari na Katibu wa ACT Mkoa wa Arusha, Matokeo Simba.
9 years ago
StarTV29 Sep
Makanisa matatu yavunjwa na kuchomwa samani zake.
Mfululizo wa uhalifu dhidi ya makanisa mbalimbali bado unaendelea katika Mkoa wa Kagera ambapo makanisa matatu yamevunjwa na samani zake kuchomwa moto ndani ya siku moja likiwa ni tukio la pili kutokea katika kipindi cha wiki mbili sasa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa matukio hayo na kwamba jeshi la Polisi bado linaendelea na upelelezi kuhakikisha linawatia mbaroni wale wote wanaohusika na vitendo...