NDOA YA SLIM YAVUNJWA MAHAKAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-iiZV8yA8jopBOeybxfLyQtvhaHFoq2aURpGNtbmFuD4tJpw7uqKAZBU7-pO9bQIkOlYK5pcMC5qgsr-w7h5pCzQ/SLIM.jpg)
IMELDA MTEMA/Mchanganyiko NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Mbegu ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni jijini Dar kufuatia mgogoro wa muda mrefu. Aliyekuwa mke wa staa wa filamu nchini, Salim Mbegu ‘Slim’, Asia Morgan akiwa katika pozi. “Mahakama hii imevunja baada ya mdai (mke) kusema hata iweje hawezi kurudi tena kwa mumewe huyo kutokana na kuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Kamati Taifa Stars yavunjwa
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana imevunjwa rasmi baada ya kumaliza kazi yao iliyokuwa inawakabili ya kuhamasisha mechi dhidi ya Algeria.
Kamati hiyo iliyoundwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ilikuwa na kazi ya kuhakikisha Taifa Stars inafanya vema kwenye michuano ya kuwania kufuzu kwa kombe la dunia 2018 nchini Urusi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Farough Baghouzah,...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Tume ya Warioba yavunjwa rasmi
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba, iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Jaji Joseph Warioba. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam na...
10 years ago
Habarileo17 Sep
Ofisi ya ACT yavunjwa, nyaraka zaibwa
OFISI ya Chama cha Mabadiliko na Uwazi (ACT) imevunjwa na kuibwa nyaraka mbalimbali muhimu, ikiwemo fedha taslimu Sh 280,000 usiku wa kuamkia jana. Taarifa ya tukio hilo, ilielezwa kwa waandishi wa habari na Katibu wa ACT Mkoa wa Arusha, Matokeo Simba.
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Rekodi ya wizi yavunjwa huko Chile
11 years ago
BBCSwahili26 May
Makundi yenye itikadi kali yavunjwa China
9 years ago
StarTV29 Sep
Makanisa matatu yavunjwa na kuchomwa samani zake.
Mfululizo wa uhalifu dhidi ya makanisa mbalimbali bado unaendelea katika Mkoa wa Kagera ambapo makanisa matatu yamevunjwa na samani zake kuchomwa moto ndani ya siku moja likiwa ni tukio la pili kutokea katika kipindi cha wiki mbili sasa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa matukio hayo na kwamba jeshi la Polisi bado linaendelea na upelelezi kuhakikisha linawatia mbaroni wale wote wanaohusika na vitendo...
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
‘Hapa Kazi Tu’ yaondoka na Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili, Bodi yavunjwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa kwenye kwenye wodi ya sewahaji, kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es salaam jana wakati wa ziara yake ya kushtukiza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , jana mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa...
10 years ago
GPLSLIM APANDISHWA KIZIMBANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WZNj24es22uUMJXEHKzQXf9IoUuyxg2slZsnC*bPHNE88Mf8Ho8xtp4GfMtzL-oZOkGvsKWqOchvZ1NN6XTp*n/slim.jpg?width=650)
SLIM:MASTAA WA KIKE WANAJITONGOZESHA