Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SLIM APANDISHWA KIZIMBANI

Msanii wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’. Na Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda BAADA ya ndoa kuvunjika, msanii wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ amedaiwa kupandishwa mahakamani baada ya mkewe, Asia kudai talaka. Chanzo makini kilisema kwamba, Slim alipandishwa kizimbani Jumatatu wiki hii katika Mahakama ya Mwanzo-Magomeni jijini Dar kwa madai ya talaka. Baada ya kuzipata habari hizo gazeti hili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Mansour apandishwa kizimbani

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Na Is-haka Omar, Zanzibar

ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.

Akimsomewa mashitaka hayo jana  mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani,  Mwendesha mashtaka wa Serikali,  Maulid Ali,  alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkosamali apandishwa kizimbani Kigoma

Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Felix Mkosamali amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo akikabiliwa na shtaka la kumzuia karani mwandikishaji kufanya kazi yake.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Muuaji’ wa Dk Mvungi apandishwa kizimbani

Mshtakiwa George Mulungu (28) mkazi wa Vingunguti amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka la kumuua kwa kukusudia aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi.

 

11 years ago

Habarileo

Ofisa NHIF apandishwa kizimbani

OFISA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Godius Masilango, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara ya Sh milioni 51.

 

10 years ago

GPL

CHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU

Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu leo. ...Akielekea kwenye 'karandinga' tayari kwa safari ya Segerea.…

 

9 years ago

StarTV

Mbunge Saed Kubenea apandishwa kizimbani

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shitaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.

Akisoma hati ya mashtaka, Wakili Mkuu wa Serikali Timon Vitalis mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amedai kuwa Desemba 14, 2015 katika kiwanda cha Tooku Garments Company Limited kilichopo Mabibo External Kebenea alitoa lugha chafu dhidi ya  Makonda.

 Wakili wa serikali Timon...

 

10 years ago

Michuzi

PROF. LIPUMBA APANDISHWA KIZIMBANI LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof Ibrahim Haruna Lipumba (katikati) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo,alipofikishwa kujibu shitaka la kuhamasisha wanachama wa chama chake kufanya maandamano. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof Ibrahim Haruna Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo.Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Arumeru Mashariki apandishwa kizimbani

IMG_4856

Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA).

Na Mahmoud Ahmad, Arusha

MBUNGE wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA)anatarajiwa kufikishwa  mahakamani leo kutokana na kutumia silaha na kisha kumteka mtendaji wa kata ya Makiba, na kuchoma bendera za chama cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali  wilayani Meru.

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, amesema tukio hilo limetokea Desemba 14 mwaka huu  wakati mbunge huyo alipokuwa akifuatilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani