Mbunge wa Arumeru Mashariki apandishwa kizimbani
Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA).
Na Mahmoud Ahmad, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA)anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na kutumia silaha na kisha kumteka mtendaji wa kata ya Makiba, na kuchoma bendera za chama cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali wilayani Meru.
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, amesema tukio hilo limetokea Desemba 14 mwaka huu wakati mbunge huyo alipokuwa akifuatilia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV16 Dec
Mbunge Saed Kubenea apandishwa kizimbani
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shitaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili Mkuu wa Serikali Timon Vitalis mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amedai kuwa Desemba 14, 2015 katika kiwanda cha Tooku Garments Company Limited kilichopo Mabibo External Kebenea alitoa lugha chafu dhidi ya Makonda.
Wakili wa serikali Timon...
5 years ago
CCM BlogMBUNGE LEMA APANDISHWA KIZIMBANI SINGIDA ATUHUMIWA MAKOSA 15
Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbles Jonathan Lema akizungumza na wanasheria na makada wa chama hicho baada ya kusomewa mashitaka.
Na Ismail Luhamba, Singida
MBUNGE wa Arusha Mjini...
5 years ago
MichuziMBUNGE LEMA APANDISHWA KIZIMBANI SINGIDA ATUHUMIWA MAKOSA 15
Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbles Jonathan Lema akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mjini Singida ambapo alisomewa mashitaka akituhumiwa kwa makosa 15.
Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbles Jonathan Lema akizungumza na wanasheria na makada wa chama hicho baada ya kusomewa mashitaka.
Na Ismail Luhamba, Singida
MBUNGE wa Arusha Mjini na...
10 years ago
GPL
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APATA AJALI JIONI YA LEO
11 years ago
CloudsFM06 Jun
MBUNGE JOSHUA NASARI WA ARUMERU MASHARIKI KUFUNGA NDOA KESHO
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Mh Joshua Nassari kesho anatarajia kufunga ndoa na Bi Anande Nko katika kanisa la Pentekoste, Kilinga lililoko wilaya ya Meru ambako Mh Nassari alianzia masuala ya Kiimani ikifuatiwa na Sherehe kubwa ya Harusi itakayo fanyika katika viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.
Kwa Mujibu wa Mh Nassari ,sherehe hizo zitakazoanza majira ya saa saba mchana watu wote wamealikwa wakiwemo ndugu, marafiki, Jamaa na wananchi jimbo la Arumeru...
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APATA AJALI YA CHOPA JIONI YA LEO

Taarifa kamili itawajia baadae kidogo.
9 years ago
Michuzi
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ATEMBELEA WAGONJWA WA HOSPITALI YA TENGERU NA KUWASIKILIZA KERO ZAO

wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalin

wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika...
10 years ago
GPL
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI ASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA UTEKAJI
11 years ago
Michuzi
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ASHIRIKI MDAHALO WA VIONGOZI WADOGO BARANI AFRIKA NCHINI MAREKANI


