Mbunge Saed Kubenea apandishwa kizimbani
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shitaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili Mkuu wa Serikali Timon Vitalis mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amedai kuwa Desemba 14, 2015 katika kiwanda cha Tooku Garments Company Limited kilichopo Mabibo External Kebenea alitoa lugha chafu dhidi ya Makonda.
Wakili wa serikali Timon...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mbunge wa Arumeru Mashariki apandishwa kizimbani
Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA).
Na Mahmoud Ahmad, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA)anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na kutumia silaha na kisha kumteka mtendaji wa kata ya Makiba, na kuchoma bendera za chama cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali wilayani Meru.
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, amesema tukio hilo limetokea Desemba 14 mwaka huu wakati mbunge huyo alipokuwa akifuatilia...
5 years ago
CCM BlogMBUNGE LEMA APANDISHWA KIZIMBANI SINGIDA ATUHUMIWA MAKOSA 15
Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbles Jonathan Lema akizungumza na wanasheria na makada wa chama hicho baada ya kusomewa mashitaka.
Na Ismail Luhamba, Singida
MBUNGE wa Arusha Mjini...
5 years ago
MichuziMBUNGE LEMA APANDISHWA KIZIMBANI SINGIDA ATUHUMIWA MAKOSA 15
Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbles Jonathan Lema akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mjini Singida ambapo alisomewa mashitaka akituhumiwa kwa makosa 15.
Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbles Jonathan Lema akizungumza na wanasheria na makada wa chama hicho baada ya kusomewa mashitaka.
Na Ismail Luhamba, Singida
MBUNGE wa Arusha Mjini na...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Dk. Didas Masaburi afuta kesi ya kupinga Ubunge wa Saed Kubenea
10 years ago
VijimamboMahakama Yatoa Hukumu Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Saed Kubenea
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
JUST IN: Saed Kubenea achukua fomu ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Ubungo
Mwanahabari mkongwe Saed Kubenea (pichani) achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge kupitia Chadema jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd., inayochapisha magazeti ya MwanaHALISI; MSETO; MwanaHALISI Online na MwanaHALISI Forum na ndiye mmiliki wa kampuni hiyo.
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Kubenea apandishwa Mahakamani leo
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea.
Baada ya taflani iliyotokea jana Jumatatu kati ya mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea wa Chadema na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda eneo la viwanda (EPZA) Mabibo jijini Dar hali iliyopelekea DC Makonda kuwaamuru polisi wamuweke chini ya ulinzi Saed Kubenea na kumpeleka Kituo cha Polisi. Leo Saed Kubenea amepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa wilaya ya...
10 years ago
GPLSLIM APANDISHWA KIZIMBANI
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mansour apandishwa kizimbani
Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid
Na Is-haka Omar, Zanzibar
ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Akimsomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani, Mwendesha mashtaka wa Serikali, Maulid Ali, alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...