Mahakama Yatoa Hukumu Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Saed Kubenea
![](http://4.bp.blogspot.com/-vP285XvMGkU/VCTn79Fgc5I/AAAAAAAAhsU/GM5hA__n5z8/s72-c/kubenea.jpg)
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imetoa hukumu ya kesi ya namba 28 ya mwaka 2014 ambayo iliitaka mahakama hiyo kutoa tafsri sahihi ya mamlaka na mipaka ya Bunge maalum ya katiba iliyofunguliwa na mwandishi wa Habari Saed Kubenea.Akisoma hati ya amri ya mahakama Jaji Augustino Mwarija kwa niaba ya majaji watatu waliosikiliza shauri hilo,amesema kumekuwepo na Utata katika kifungu cha 25(2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011 katika lugha mbili zilizotumika kuandika sheria...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Sep
Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Dk. Didas Masaburi afuta kesi ya kupinga Ubunge wa Saed Kubenea
![](http://3.bp.blogspot.com/-XNjP98s8Vz0/VnI00_qGu_I/AAAAAAAArrY/XUQ3cwQ1RdE/s1600/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog30 Jul
Mahakama yatupilia mbali pingamizi katika kesi ya mirathi ya Mwandishi wa habari mkongwe nchini
Pichani ni mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu, Betty Luzuka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Ofisa mwandamizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Phil Kleruu.
Na Mwandishi wetu, Arusha
Mahakama ya mwanzo ya Maromboso imetupilia mbali kesi ya pingamizi iliyofunguliwa na mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa jumuiya ya Afrika Mashariki,Phil Kleruu aitwaye Hilda Kleruu kwa madai kwamba siyo mwaminifu na hivyo amekosa sifa ya kuwa msimamizi wa mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-J4jC1LkWRkg/XtePMQIFHjI/AAAAAAALscE/nTKW5u9o-Cg2ZcsDynjDBQ5L2f6HkxhowCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI NDUGAI ILIYOFUNGULIWA KIKATIBA
![](https://1.bp.blogspot.com/-J4jC1LkWRkg/XtePMQIFHjI/AAAAAAALscE/nTKW5u9o-Cg2ZcsDynjDBQ5L2f6HkxhowCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault.jpg)
Mbali na Ndugai, walalamikiwa wengine ni Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo Wakili Kaunda anaiomba Mahakama Kuu kutengua amri ya Spika Ndugai ya kumtambua Mwambe kama...
10 years ago
GPLHUKUMU YA KESI YA KUBENEA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-J4jC1LkWRkg/XtePMQIFHjI/AAAAAAALscE/nTKW5u9o-Cg2ZcsDynjDBQ5L2f6HkxhowCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA DHIDI YA SPIKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-J4jC1LkWRkg/XtePMQIFHjI/AAAAAAALscE/nTKW5u9o-Cg2ZcsDynjDBQ5L2f6HkxhowCLcBGAsYHQ/s400/maxresdefault.jpg)
Mbali na Ndugai, walalamikiwa wengine ni Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo Wakili Kaunda anaiomba Mahakama Kuu kutengua amri ya Spika Ndugai ya kumtambua Mwambe kama...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Hukumu kesi ya mwandishi wa Mwanachi desemba 10
Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen na Mwananchi mkoani Singida,Awila Silla, alipokuwa wodini katika hospitali ya mkoa mjini Singida Septemba 9 mwaka 2013, baada ya kucharangwa mapanga na kisha kuporwa mali mbalimbali zikiwemo simu mbili za kiganjani.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KESI ya unyang’anyi wa kutumia silaha dhidi ya mwandishi wa habari wa magazeti ya MWANANCHI na THE CITIZEN mkoani Singida, inayomkabil Adamu Abdallah mkazi wa Utemini mjini Singida,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-c4nqYXJtDZ4/XrEmGjmkc2I/AAAAAAALpMM/y0uZDoFJLNQkVJOAVHGLxytb8lLpPvqLACLcBGAsYHQ/s72-c/Mahakama-Kuu-2-MUDA-HUU.jpg)
MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LtLAdpl--Vs/Xs_KTIlWCYI/AAAAAAALr5E/J1MaQGGTfd0Rjvuh6-UJREewa80feejAACLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA NA TAASISI MBILI ZISIZO ZA SERIKALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-LtLAdpl--Vs/Xs_KTIlWCYI/AAAAAAALr5E/J1MaQGGTfd0Rjvuh6-UJREewa80feejAACLcBGAsYHQ/s400/index.jpg)
Marekebisho katika sheria hizo yalihusu kuweka tafsiri mpya ya maneno Kampuni na Asasi katika sheria husika na pia kuzitaka Asasi zote zilizosajiliwa chini ya Sheria ya Makampuni ambazo hazikuwa na malengo ya...