Hukumu kesi ya mwandishi wa Mwanachi desemba 10
Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen na Mwananchi mkoani Singida,Awila Silla, alipokuwa wodini katika hospitali ya mkoa mjini Singida Septemba 9 mwaka 2013, baada ya kucharangwa mapanga na kisha kuporwa mali mbalimbali zikiwemo simu mbili za kiganjani.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KESI ya unyang’anyi wa kutumia silaha dhidi ya mwandishi wa habari wa magazeti ya MWANANCHI na THE CITIZEN mkoani Singida, inayomkabil Adamu Abdallah mkazi wa Utemini mjini Singida,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-vP285XvMGkU/VCTn79Fgc5I/AAAAAAAAhsU/GM5hA__n5z8/s72-c/kubenea.jpg)
Mahakama Yatoa Hukumu Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Saed Kubenea
![](http://4.bp.blogspot.com/-vP285XvMGkU/VCTn79Fgc5I/AAAAAAAAhsU/GM5hA__n5z8/s1600/kubenea.jpg)
10 years ago
Vijimambo07 Feb
HUKUMU KESI YA KESI KISUTU
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-qEBytIDT_uk%2FVNTSKai8E_I%2FAAAAAAAAs58%2FkFaUXYLmSMU%2Fs1600%2Fmacha%252Bhans.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.
Hayo yalithibitishwa leo kupitia hukumu iliyosomwa na Hakimu Mkazi Frank Moshi kwa niaba ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, ambaye alisikiliza kesi ya kughushi inayomkabili Macha.
Katika kesi hiyo, Macha alikuwa akikabiliwa na mashitaka matatu ya kughushi hati ya umiliki wa kiwanja kilichopo eneo ya Kigogo, Dar es...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Kesi ya Manyaunyau Desemba 18
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Kesi ya vigogo TPA kusikilizwa Desemba
NA FURAHA OMARY
KESI ya matumizi mabaya ya madaraka, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu wake, Hamad Koshuma, imepangwa kuanza kusikilizwa Desemba 2, mwaka huu.
Mgawe na mwenzake, wanadaiwa kutoa zabuni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14, katika bandari ya Dar es Salaam, kwa Kampuni ya China Communications Contruction, bila ya kutangaza zabuni.
Washitakiwa hao walipanda kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Hukumu kesi ya Kibanda leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya kuandika na kuchapisha makala ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Hukumu kesi ya Liyumba leo
HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Hukumu ya kesi Bunge la Katiba kesho
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Hukumu kesi ya ujangili ‘kiini macho’
10 years ago
Habarileo30 Oct
Hukumu kesi ya kutishia kumuua Mbunge
HUKUMU ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Anthony Mahwata ya kutishia kumuua kwa maneno Mbunge wa zamani wa Jimbo la Njombe Magharibi, Yono Kevela imepangwa kuwa Novemba 27, mwaka huu.